Police: CP Paul A. Chagonja hafai kuwa Msemaji Katika Matukio Makubwa.

tatizo kubwa jeshi la polisi kuongozwa na mijitu ya std 7 ndio maana nguvu nying hutumika kuliko akili.
 
Mkuu usifanye kila kitu ni siasa chagonja ni askari unataka aanze kuropoka kama wanasiasa?.acha afanye kazi mkuu kwa nyie wanasiasa pigeni hizo kelele yeye ni facts tu.
 
Mimi huwa naamini ktk professional yoyote ni lazima/uwe na high moral values especially integrity and (conscious for) justice.

Chagonja hata angekuwa wa level ya FBI...siwezi kumheshimu kwa tabia zake za uongo, ulaghai, upendeleo na uhuni.
 
Back
Top Bottom