Poleni nyote mliozaliwa 1april

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,662
Polen kwa kuzaliwa cku hii hata cjui nani aliipa jina hili SIKU YA WAJINGA .
 
Hahahahahahahah
daaahh sante dear
nilikuwa nime nuna
lakini umenichekesha
Sante Kokudo wangu lol

Lakini si dhani hii siku
ina maanisha hivyo
na dhani ni jina tu
 
Tobaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!

mie nilinusurika nilizaliwa 2nd April
 
Acha hizo bwana, shemeji yangu kajifungua jana jioni. She was not happy at all hospitali tukampa moyo kuwa ni utani wala haina maana hiyo.

Imagine ilikuwa ajifungue alhamisi ya wiki iliopita lakini mtoto kapitiliza katoka 1 April!!!!
 
Duh mpe pole bwana angalien bwana kasije kakawa ka ndebile.
 
Duh mpe pole bwana angalien bwana kasije kakawa ka ndebile.

Ndebile ndio nini?? mtoto mzima wa afya hilo ndo la kumshukuru Mungu.

Sema hawakutegemea kangezaliwa 1 April, yote mipango ya Mungu.

Am just in love with my sweet nephew, he is so cute.
 
Kokudo naomba tafsiri ya hiyo bluu

Very simple!hyo blue hupatikana kwenye bendera ya taifa huwakilisha Bahari kama cjakosea.hapo vp poa au bdo?
Ooh sorry kumbe ulimaanisha hilo neno NDEBILE? Ndebile kwa sisi ni watoto waliozaliwa kabla ya cku pia hu2mika kwa watu wasiokua na timamu nafikiri ni hvyo ingawa ckumaanisha kwa yule mjomba wake na member mmoja humu jf na hapo je vp umenipata?
 
Kuna rafiki yang namjua kazaliwa tar hyo jana nkaingia facebook nkijua ntakuta notification ya birthda yake.kumbe kaifoward mpaka 5. Ila akili anazo na alitusumbua class alot.
 
Back
Top Bottom