Podium anayotumia Rais Samia ipo sahihi

Jun 4, 2022
68
184
Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya watu wamekuwa wakihoji PODIUM anayotumia Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kwamba (haijakamilika) yaani haina Bibi na Bwana pamoja na Mlima Kilimanjaro kama ilivyo kwenye Nembo ya Taifa.

UFAFANUZI:

Ukiona 'Podium' yenye nembo inayoonekana hapo chini, jua kwamba ni ya Mheshimiwa Rais pekee kama ilivyo kwenye Bendera yake. Nembo hiyo ni Alama ya Rais (The President). Tofauti na Nembo ya Taifa ambayo inajumuisha Bibi na Bwana pamoja na Mlima Kilimanjaro.
IMG-20230807-WA0007.jpg
Tz_president.gif
 
Nini kifanyike ili hiyo bendera ya Taifa unayotaka ionekane, ionekane bila kupoteza muonekano halisi wa mbao?
 
Iwekwe hata picha ya mnyama atuwakilishe podium ina vitu vingi kweli maji,mundu,shoka,pembe na bendera! Waweke hata picha ya kitu kimoja tu kiwakilishe wapo wachora logo waingie kazini
 
Back
Top Bottom