mtamanyali JF-Expert Member Dec 6, 2011 1,161 613 Jul 25, 2012 #1 [h=6]jamaa alinyimwa msosi msibani. kwa hasira akaaga akisema "AMNA NOMA NAMIE NTAFIWA TU !"[/h]
hovyohovyo JF-Expert Member Jul 8, 2012 547 157 Jul 25, 2012 #3 Alikuwa right. Maana kufiwa ni lazima.
Pancras Suday JF-Expert Member Jun 24, 2011 8,143 3,830 Jul 26, 2012 #4 Aiiiih! aangalie asijedanja yeye si tufaidike mpunga
sakapal JF-Expert Member Apr 11, 2011 1,804 1,424 Jul 26, 2012 #5 mtamanyali said: jamaa alinyimwa msosi msibani. kwa hasira akaaga akisema "AMNA NOMA NAMIE NTAFIWA TU !" Click to expand... heheheheeeee lol! mambo ya kulipiza kisasi hayo hadi kwenye misiba duh mecheka sana thanx:yo:
mtamanyali said: jamaa alinyimwa msosi msibani. kwa hasira akaaga akisema "AMNA NOMA NAMIE NTAFIWA TU !" Click to expand... heheheheeeee lol! mambo ya kulipiza kisasi hayo hadi kwenye misiba duh mecheka sana thanx:yo: