PM Majaliwa: Tumegundua Mtandao hatari wa Wezi wa Fedha za Umma kwenye kitengo cha Treasury Single Unit pale TAMISEMI!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,980
Akiwa mkoani Mara Waziri mkuu mh Majaliwa amesema kuna Wizi mkubwa sana unafanywa na kakikundi ka Watu Wachache pale TAMISEMI wakishirikiana na Watendaji wa kwenye Halmashauri

Wezi hao tumewabaini na hatua zimeanza kuchukuliwa, amesema mh Majaliwa

===

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amekemea vitendo vya wizi na uzembe katika miradi akiwa ziarani Mkoani Mara. Majaliwa akibainisha kuwepo kwa mtandao wa wizi katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, unapelekea huduma kuchelea. Pia ameagiza kichukuliwa hatua watumishi wasio waadilifu.

Wananchi TV
 
Akiwa mkoani Mara Waziri mkuu mh Majaliwa amesema kuna Wizi mkubwa sana unafanywa na kakikundi ka Watu Wachache pale TAMISEMI wakishirikiana na Watendaji wa kwenye Halmashauri

Wezi hao tumewabaini na hatua zimeanza kuchukuliwa, amesema mh Majaliwa
Magufuli yuko ofisini anachapa kazi anawasalimia wakati yupo.............................................
Msimuamini huyu
 
Nilishangaa Makamba Senior alivyowalipua Lowassa na Sumaye jukwaani, kwamba kama walikuwa wanaiba mali ya umma, Chama kilikuwa wapi kuwawajibisha mpaka wasubiri wamehama chama ndipo wawalipue kwa kejeli na vijembe majukwaani?
Kuna jambo fulani langojewa litokee ndo tutaiona taa ya nuru mbele yetu.
 
Back
Top Bottom