PLZ READ:Baada ya kukosa ajira Tz,sasa nimeangalia kwenye MKOPO wa MILIONI 6.

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Samahani lakini:
jaman wana Jf,members na visitors,nimeangaika sana kutafuta ajira hapa Tanzania mpaka basi! Nimetoa photocopy kibao za vyeti na passport size kupeleka kwenye ofisi za watu,lakini wapi!
Mpaka dakika hii am Jobless.
Sasa nilikuwa nawaza na naomba,kwa yeyote mwenye uwezo,awe yeye binafsi au kampuni,aninunulie BAJAJ[matairi matatu] nitakuwa narejesha taratibu. Nasikia Bajaj mpya inachezea kwenye milioni 5.5-6.
Hata nikipata used ili mradi nami niweze kujikimu kimaisha. Namhakikishia mwajiri tutawekana wazi ili nipate huo mradi.
Mimi naishi Mbezi ya Kimara-Dsm.
Kwa aliye tayari please use +255718651174 au +255768252589.
All the best.
 
Waoh!........pole sana kamanda mimi nakuombea kwa Mungu na wewe pia usiache kumuomba na amini utafanikiwa kila la kheri.
 
wazo nzuri sana ningekuwa na uwezo ningekusaidia, inshaalah atapatikana mwenye nia kukusaidia
 
Unatafutia watu BAN sio? Au umetumwa na Ma Mod?

BAN ya nini tena hapa jamani? Atakayeandika matusi kwa wazo langu atakuwa amejitakia,na atakuwa sio timamu 100%. Mawazo ya mtu yaheshimiwe,na hayo ndiyo mawazo yangu!
 
Kazi ipi uliyokuwa unatafuta? una ujuzi upi? kama huwezi kuweka wazi, nitumie kwa pm, naweza kukupa mawazo.
 
Kaka usikate tamaa na mimi ni mmoja wapo wenye situation kama yako so u are not alone...one day!!!
 
Usimjaji mtu kwa lugha jaji utendaji wake wa kazi na icho ndo wabongo tunachokosea utakuta mtu mdomono anamwaga ung'eng'e ile mbaya mpe kazi afanye uone ayo madudu atakayoyafanya.
 
watu kwa upimbi humu mmezidi, kama huna cha kuandika pita kuliko kuanzisha ligi humu kwa wastaarabu, heshimu mawazo ya watu
 
Samahani lakini:
jaman wana Jf,members na visitors,nimeangaika sana kutafuta ajira hapa Tanzania mpaka basi! Nimetoa photocopy kibao za vyeti na passport size kupeleka kwenye ofisi za watu,lakini wapi!
Mpaka dakika hii am Jobless.
Sasa nilikuwa nawaza na naomba,kwa yeyote mwenye uwezo,awe yeye binafsi au kampuni,aninunulie BAJAJ[matairi matatu] nitakuwa narejesha taratibu. Nasikia Bajaj mpya inachezea kwenye milioni 5.5-6.
Hata nikipata used ili mradi nami niweze kujikimu kimaisha. Namhakikishia mwajiri tutawekana wazi ili nipate huo mradi.
Mimi naishi Mbezi ya Kimara-Dsm.
Kwa aliye tayari please use +255718651174 au +255768252589.
All the best.

uckonde na kukata tamaa mapema mkuu, mie mwenyewe huu ni mwaka wa tatu lakini sikati tamaa I still believe that one day yes
 
Hivi watu kama akina SOBODO,NDESA PESA na WAZEE WOTE WENYE UKWASI wanapitaga huku kweli kuona vilio vya vijana?
Myself i'm the victim of situation that you pass,
 
Back
Top Bottom