Plz cheki hii: Moja ya picha za rais wenu akiwa marekani...jamaa ni nouuma!!!!

mmmmh huyo demu si ndio yule aliwahi kuhongwa kipande cha almasi na aliyekuwa rais wa liberia charles tailor??asije kuwa wa kwetu nae kaingia mkenge huo...
 
Jinsi JMK alivyo i "promote" Tanzania ndani ya USA, hivi sasa tunashuhudia wimbi la Wamerekani wakija kutalii na kutumia Tanzania na baada ya muda si mrefu USA ndio itakuwa nchi ya kwanza kwa kuleta watalii wengi Tanzania. Anachonifurahisha JMK ni kuwa analenga wapi kwa watumiaji wakubwa wa fedha Merekani ambao hata wakija Tanzania hawaji kama backpackers.

JMK tija ya ziara zako Merekani na kazi njema unayoifanya tunaiona, haina shaka ndani yake. Wacha wenye vijiba vya roho wafe navyo.
 
Raisi wenu anathaminiwa huko nje. Watu natafuta fursa kumsikia na kupiga nae picha. Hii picha ni mahali pa kazi au mkutano angalia bango hilo nyuma yao. Na mtu akija na kumuomba rais kupiga nae picha ni kitu cha kawaida raisi kumkubalia ikiwa muda unaruhusu. Dont make a mountain out of ant mound.
 
Hii si photoshop kweli?

attachment.php
attachment.php

Huyu model anafanya kazi kwenye makampuni makubwa ya maonyesho ya mavazi nchini marekani. Anaonekana sana kwenye vipindi vya matangazo ya nguzo vya TV na Magazini.

Hii picha ina kila dalili za ukweli kama mwenye ujuzi na mambo ya picha anavyoweza kuisoma.
 
Jinsi JMK alivyo i "promote" Tanzania ndani ya USA, hivi sasa tunashuhudia wimbi la Wamerekani wakija kutalii na kutumia Tanzania na baada ya muda si mrefu USA ndio itakuwa nchi ya kwanza kwa kuleta watalii wengi Tanzania. Anachonifurahisha JMK ni kuwa analenga wapi kwa watumiaji wakubwa wa fedha Merekani ambao hata wakija Tanzania hawaji kama backpackers.

JMK tija ya ziara zako Merekani na kazi njema unayoifanya tunaiona, haina shaka ndani yake. Wacha wenye vijiba vya roho wafe navyo.

attachment.php

Hawa jamaa wako very professional kwa kazi yao, usipokuwa mwangalifu utashtukia kama huna akili vile ukawa una panga visafari visivyoisha. Wao kazi yao na kipato chao hutegemea ufundi wa kuwanasa wenye nafasi na pesa nzuri, ukafikiri umewapagawisha kumbe wanakupagawisha, ni ufundi tu. Na wengi wao ni wale wenye kofia mbili za umoja wa wanawake na shughuli za kujinafsi. Wanapata kote kote, pamoja na malipo kiduchu kwenye umoja wa wanawake, ya kujinafsi inajazia pengo. Maana hii ya kumweka sawa mkuu wa nchi kwa star si bure, inalipa.

Miaka miwili ijaya mambo yanalipuka WikiLeaks, sijui Rweyemamu ataitisha kikao cha waandishi wa habari kutetea kuwa wakuu wetu watembeleapo nchi zao hawapigi picha hizo? te te te te. Wakuu wengine wa nchi wanaokandia tutakuja jua hekima na busara siku zijazo.
 
Jinsi JMK alivyo i "promote" Tanzania ndani ya USA, hivi sasa tunashuhudia wimbi la Wamerekani wakija kutalii na kutumia Tanzania na baada ya muda si mrefu USA ndio itakuwa nchi ya kwanza kwa kuleta watalii wengi Tanzania. Anachonifurahisha JMK ni kuwa analenga wapi kwa watumiaji wakubwa wa fedha Merekani ambao hata wakija Tanzania hawaji kama backpackers.

JMK tija ya ziara zako Merekani na kazi njema unayoifanya tunaiona, haina shaka ndani yake. Wacha wenye vijiba vya roho wafe navyo.

Acha kuotea mambo eti watalii watakuja kisa yeye kaenda usa..bila kujitangaza kwenye media na kwenye mikusanyiko ya watu hata jk akikaa hukohuko hamna ongezeko la watalii..usa sio kama Tz ile nchi kubwa na si watu wote wanajua jk yupo usa.
 
ajabu nini zaidi ya kusema kawivu kamekudata? kwenye form ya uraisi sifa ya upadre ipo? hebu tuondolee umaskini wako?

Sasa hapo nione wivu wa nini...kupata virus tu na gonorea..? acha upunguani mkuu.
 
Ndiyo hii ni photo edit ukitaka kujua angalia picha ya JK kwa nyuma karibu na masikio kuna kivuli ambacho kinaonesha wazi kuwa picha ya JK imepachikwa.

Sio kweli, angalia kivuli hicho ukilinganisha na vingine. Sio Photoshop.
 
Back
Top Bottom