Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,372
- 2,374
Spika
unawakatiza wabunge na mmebadili kanuni wabunge wachangie kwa kipindi kifupi lakini wewe unatumia muda mwiiiingi kutambulisha wageni wasio na tija au binafsi...acha
unazuia hoja nyiiingi eti suala liko mahakamani wakati kimsingi kesi nyingine hazihusiani na hoja na mambo menginne yana stateof emergency...acha