Plots and Houses for sale in Dar

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Kuna plots takriban 20 ziko sokoni na nyumba moja ya ghorofa vinauzwa Dar kama ifuatavyo:-

1. Viwanja vya makazi 20 viko Madale kwa Kawawa (vina offer); bei ni kuanzia Tsh 5-50 million

2. 1 plot of 3 acres at Tegeta Dawasa with one storey building, a godown and a servant quarter. Kina hati (title deed). Bei ni Tsh. 1 bn

3. 1 plot of 4 acres along Bagamoyo Rd kina nyumba iliyoezekwa. Bei ni Sh. 1 bn. (kina hati)

4.One plot of 3/4 acre at Tegeta mwisho (stendi), kina frame 10 zinazofanya kazi na bar/ Hakijapimwa. Bei Tshs 300 million.

5. One storey building (new) at Mikocheni kwa Mwalimu. Kina hati (title deed). Bei Tshs 500 million.

Kazi kwenu!

Contacts:

Rachel 0717 348324
Yohana 0782 085085
Thabit 0759 688121
 
Sijui kama macho yangu yana tabia mbaya but i real dont see anything related to (bei ni kuanzia Tsh 5-50 million)
upupu mtupu yaani full wehu..... 1bn? nakichaa ama? hata kama ninazo huu wehu siwezi
 
Mkuu Ibrah wee ni mmiliki au dalali wa hayo mazaga ( ma viwanja na maghorofaa n.k)?
 
Siyo vipo kwenye vitalu vya magufuli kweli???natia shaka nitarudi kusikia wadau wanasemaje!!
 
Sijui kama macho yangu yana tabia mbaya but i real dont see anything related to (bei ni kuanzia Tsh 5-50 million)
upupu mtupu yaani full wehu..... 1bn? nakichaa ama? hata kama ninazo huu wehu siwezi

Usiogope Mkuu, mkono hukiukuna ufikiapo yakhe! Miliioni tano pia huwezi?
 
Mkuu Ibrah wee ni mmiliki au dalali wa hayo mazaga ( ma viwanja na maghorofaa n.k)?

Mkuu, nimeomba tu na dalali nimpostie, si wajua tena issue ni access ya internet? Nilisahau kuposti namba zao, ngoja nibandike.
 
2. 1 plot of 3 acres at Tegeta Dawasa with one storey building, a godown and a servant quarter. Kina hati (title deed). Bei ni Tsh. 1 bn

$650,000 kwa ghorofa la Tegeta? Kama ni 1bn Tsh ya 2015 sawa
 
Back
Top Bottom