Plot for sale

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Located at Kibamba C.C.M area in Kinondoni Municipality Dar es Salaam City. About 25 metres from Morogoro Road. Plot Size: HEKARI MOJA NA ROBO. Bei 25mil. Maelewano yapo. Kwa maelezo zaidi piga simu 0784225000
 

Attachments

  • DSC08382.JPG
    DSC08382.JPG
    55.8 KB · Views: 74
Fafanua: Hicho kiwanja 25m kutoka MOROGORO ROAD maana yake nini?

Je moje sehemu yake ipo eneo linaloitwa "ROAD RESERVE" ya barabara au ni 25m toka ukingo wa road reserve (kwa sheria za SERIKALI KUU).

Watu wengi wanaweza kuwa na interest lakini ufafanuzi ni muhimu, kwani ikitokea kuvunjiwa ni hasara. Pia kina karatasi zipi mf HATI?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom