bahaticaro
Senior Member
- Jul 20, 2012
- 100
- 31
Wanajamvi,
Naomba mnisaidie mwongozo wa kuandika Cover Letter.
========================
Naomba mnisaidie mwongozo wa kuandika Cover Letter.
========================
Nimependa jinsi Mafuluto hapo juu alivo elezea... Cover letter ni moja ya njia ya kujinadi kama bidhaa vile; kwamba wewe ni bora kuliko bidhaa yoyote ile nyingine iliyopo hapo ama inayo jinadi pia. Unaonesha ubora na umuhimu wako kiufundi kwa vithibitisho pia. For instance ukisema wewe ni bigwa wa wa research inatakiwa unataja wewe ni bingwa wa research tokana na kwamba umeshafanya nyingi huku ukitaja mifano ya maeneo ya research uliyofanya ili isionekane ni maneno hewa.
Ni kama vile unajielezea wewe ulivo katika eneo husika (unaloliombea nafasi, iwe kazi ama kitu chochote husika); Huku ukiambatanisha kwa maelezo yale ambayo yapo katika CV in relation na yale ambayo unaweza.