Rollin riy
Member
- Aug 14, 2015
- 62
- 224
Hizi ni moja ya mbinu zinazotumika kutakatisha pesa...
Nifafanulie mkuuHizi ni moja ya mbinu zinazotumika kutakatisha pesa...
Night club zina operate usiku kucha mkuu. Ni kawaidaMbona amefanya matumizi usiku wa maanani mpaka alfajiri? Why mida hiyo? Au ni "frimasoni"?
Angalia quantity, zipo 10, meaning kila moja 350kkwamba Moet necta imperial milion 3.5 au naona vibaya??? hata dom perignon Haiuzwi bei hio