October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,000
Wadau Kwenye Biashara jana nilivyokuwa natoka chimbo langu la mishikaki mwanangu mmoja alini-Invite tukutane.
Jamaa ameniambia anataka kuanzisha Startup Company mimi niwe Co-founder wa Startup hiyo amenielezea wazo zima. Idea nzima ni Startup Company itayojihusisha na Advertisement/Marketing anasema kampuni zinaweka pesa nyingi kwenye Marketing kufikia walaji.
Startup Blueprint
_Hii kampuni itajihusisha na kutangaza bidhaa/Huduma mbalimbali za kampuni katika mitaa wanapoishi target market in Affordable price.
Kwakuanza itaanza na kuweka Frame za matangazo ambazo zitawekwa kila mtaa/balabala kubwa kimtaa tangazo za kampuni itayoingia tender ya kutangaziwa zitawekwa humo...Bango linakuwa ni chuma ambalo juu lina frame ya kuweka Tangazo.
Mahesabu randomly yaliyopigwa; Kampuni itaanza na wilaya ya Temeke (Mbagala) kila balabala kutawekwa mabango at least 40 kwa umbali wa interval ya meter sawa zile balabala zinazotokea balabala kuu (kilwa road) Mfano; Mbagala Zakhiem balabala inayotoka Zakhiem kwemda mbagala kuu yanakuwa mabango kama 40 mpaka Mbagala kuu, balabala kutoka Zakhiem mpaka kirungure yanawekwa mabango 40...jumla kimakadilio balabala zote muhimu kwa Mbagala/charambe mabango yatakuwa 400.
Bango moja litatozwa 600 Tzs kwasiku mabango 400 yatatozwa 240,000 Tzs sawasawa na 7,200,000 Tzs kwa mwezi mkataba unaweza kuwa wa miezi 3 ambapo itakuwa 7,200,000×3= 21,600,000 Tzs.
Sawa na 21 Million kampuni italipa kutangaziwa wilaya Temeke (Mbagala/Charambe) ambayo 45℅ ya wilaya ya Temeke.
Kuna kampuni Inaweza kuingia tenda ya 21 Million kuweka Tangazo zake za bidhaa katika eneo nililoelezea au kuingia tenda ya 40 Million kuwekewa matangazo wilaya nzima ya Temeke kwa muda wa miezi mitatu.
Hii sawa na kampuni kulipa tenda ya kuwekewa Tangazo kwa Million 100 (punguzo) kwa muda wa miezi mitatu kwa DSM mzima kila balabala.
According to randomly Calculation investment DSM nzima Inaweza ikala 60 Million inamaana tender moja Inaweza rudisha pesa ya uwekezaji wote na faida.
Hili wazo linaweza kuwa applicable kweli kwamulio na experience ya marketing inayowekeza hizi kampuni na hizo hesabu ni randomly kama Blueprint tu je zinaweza wezekana.