Pipeline za mafuta na gas

Ndahani

Platinum Member
Jun 3, 2008
18,119
9,050
Kuna kipindi huko nyuma baadhi ya watu binafsi au taasisi walikuwa wanafikiria kujenga pipeline ya mafuta kwenye mikoa ya nyanza za juu. Hii plan ilifia wapi? Naona bado kuna potential kubwa ya kukuza biashara ya mafuta ndani na hata nje ya nchi kama tutaweza kuongezea uwezo wetu wa storage na upatikanaji wa mafuta maeneo ya nyanza za juu. Ilivyo sasa tunategemea kusafirisha kwa malori tu na yanaongeza gharama kubwa.
Upande wa gas asilia, inaaminika tunayo nyingi na tunaweza kuifanyia biashara ndani na hata nje ya nchi. Viwanda vingi hasa vya cement vingeweza kunufaika sana kama nishato hii ingekuwa karibu pale inapowezekana. Tunasubiri nini kwenye hilo pia? Maana tuliambiwa gas asilia ingeanza kutumiwa kwenye magari. So far ni gari moja tu la tpdc ndio linalotumia hiyo gas, tena ni kwenye maonyesho.
I think tunaweza kupanua zaidi eneo hili la nishati kwa kuwekeza kwenye pipeline ziendazo sehemu zenye economic potentia so as to boost economic growth through the energy sector.
 
Back
Top Bottom