Pini ni nooooma!

Jonogomero

Member
Feb 8, 2012
99
27
Kwa kweli katika maisha kuna vitu vidogo sana lakini vinaumiza saaaaana moyo, na vinatoa maumivu makali sana. Kama unabisha JICHOME NA PINI KWENYE MAKALIO uone maumivu yake
 
Haya kila la kheri, jaribu halafu kesho tusikie 'si riziki' mmmh.
 
Back
Top Bottom