Parliamentary immunity in TanzaniaNingefuahi kama kweli angepandishwa kizimbani lakini tuusisahau jambo moja muhimu sana Pinda alitamka maneno hayo mjengoni si rahisi kumshtaki ana kinga ya kibunge.
Swali Kuu je, kauli ya 'wapigwe tu maana tumechoka ya Mh. Waziri Mkuu , Mizengo Kayanda Peter Pinda ilikuwa inalenga kumsaidia yeye kikazi kulinda haki za watanzania au inapelekea kupinda na kudhuru haki za watanzania kikatiba? Na kama kauli hiyo ya Mh. Mizengo Kayanda Peter Pinda inakiuka katiba ya nchi , jibu ni ndiyo maana wameshahukumiwa wananchi bila kupelekwa Mahakamani kwa kupewa kipigo cha papo kwa hapo.The main questions here were; should MPs enjoy parliamentary immunity, including being exempted from legal proceeding for acts unrelated to parliamentary duties in order to effectively perform their duties? Should such immunity exist everywhere as a matter of principle or only in fragile democracies? Home
Hapo katika nukuu ya Katiba Ya Tanzania kwenye maandishi ya mkazo wa wino mweusi inaonekana kauli ya Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda inaleta/imeleta madhara nje ya 'mjengo' yaani kwa wananchi mtaani na hiyo LHRC inaweza kupeleka mashitaka Mahakamni kwa niaba ya waathirika yaani sisi wananchi
Huko ni kudilisika kimawazo. Huyu Pinda si ndiye mliyekuwa mnamwita mpole mdhaifu. Halafu kumbukeni kuwa kauli ile katoa ndani ya ukumbi wa Bunge ambao una kinga kisheria. Vinginevyo waache wauze tu sura na wao wajipatie kipatoPathetic Pinda,
Kauli zake na matendo yake hayana tofauti na mchawi
Mkuu, acha kujitia upofu. Kuna taratibu za kumshitaki waziri mkuu na si kila mhuni anaweza kufanya hivyo.HAWA LHRC warudi wakasome upyaKama katiba inaruhusu apelekwe tu mahakamani manake jamaa ni bingwa wa kuropoka.
Kauli iliyotolewa ndani ya bunge...
Acha nao wauze sura kidogo lakini hawafiki popote.
Mkuu, acha kujitia upofu.
Kuna taratibu za kumshitaki waziri mkuu na si kila mhuni anaweza kufanya
hivyo.HAWA LHRC warudi wakasome upya
Kauli iliyotolewa ndani ya bunge...
Acha nao wauze sura kidogo lakini hawafiki popote.
Unamshtakije Mbunge kwa kauli aliyotoa Bungeni?