Pinda kubari sasa jiuzuru kabla ya kura ni aibu

Apr 9, 2012
78
8
Waziri mkuu afanye uwajibikaji akubali kujiuzulu kitendo cha kusubiri kura ni aibu na upeo mdogo wa kuwa mwanasiasa mwenye heshima,kunaviongozi walio kubari kujiuzuru bila wao kuhusika moja kwa moja mfano Ally h Mwinyi akiwa waziri wa mambo ya ndani pia ndugu jumbe raisi wa zanzibar mstaafu hivyo kujiuzuru ni hekima kubwa,kung'ng' ania ni kujipa heshima mbovu ya kisiasa ukweli unapaswa kuwajibika kwa jambo moja tu kunusuru serikali ya kikwete ijipange upya ili kutatua matatizo ya kiuchumi pia kumupata waziri mkuu mkali namtendaji asiyeogopa mawaziri wake jambo ambalo umeshindwa umebaki na ustarabu tu na kuifanya nchi iendelee kuibiwa tusikilize watanzania ondoka kwa heshima ulisema we mtoto wa mkulima usigeuke ukawa mtoto wa bepari andika historia
 
Mama Tunu Pinda mshauri huyu mzee ajiuzulu, atadhalilishwa na wakubwa wa Magogoni hadi lini? Hii itajuwa zaidi ya fedheha
 
Back
Top Bottom