Pinda atofautiana na JK kuhusu WaTanzania Kujilipua nje

calmdowndear

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
605
273
Jk alipokwenda Marekani, UAE, Oman na UK aliwaambia wana diaspora kuwa yeye anavyojua kuwa wao ni watanzania wamekuja kutafuta riski kama wanigeria, Pakistan, Israel na kwingine. Muhim nu kuwa kwa walioamua kuwa raia wa nchi hizo wajitahidi kuinvest nyumbani na kuwa raia wema huko walikobaki.

Jana pinda kaamua kuwapa wa Tanzania waliopo China msimamo mwingine kabisaa

sasa mshauri wa wa Pinda kuhusu mambo ya diaspora kwa nini ana mislead Pinda? sijawahi kusikia au kuona mtanzania ambaye amejilipua na kuchukua uraia wa China. Wazungu ndio wako ok na mambo hayo.

Kuna ubaya gani kukawa na coordination ya hizi policies kabla hawa watu hawajaongea?

soma hapa:

MICHUZI BLOG: WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI NCHINI CHINA: AWAONYA WATANZANIA "WASIJILIPUE"
 
Huo msimamo mwingine aliowapa ni upi mkuu? em kua specific umalizie kabisa tusije kuelewa ndivyo sivyo
 
tunajikomba kwa wachina, kitu watakacho kujakutufanyia tutajuta,..naona kinachokuja mbele ytu si kizuri hata kidogo
 
Naona Mh kaamua sasa kufanya kazi ya ku-negate kauli za viongozi wenzake kila siku bwana Pinda akifungua mdomo ni kinyume cha kauli ya kiongozi mwengine serikalini kazi yake naona imekua kusubiri fulani aseme hivi yeye akaonge vile tofauti na wenzie, may be he is bored with his role.
 
Back
Top Bottom