Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Jamani fursa hiyo mnaiachia, au mpaka ninge tangaza kua ina uzwa?
 
Hapo pamekosekana VITUNGUU SAUMU Ili kuikamilsha chachandu kwa ndizi mishikaki... kama ya white pale Kinondoni studio!
 
Hapo pamekosekana VITUNGUU SAUMU Ili kuikamilsha chachandu kwa ndizi mishikaki... kama ya white pale Kinondoni studio!
We,mbona una leta utani kwenye maskhara? Watu tupo serous
 
hii post naona itadumu sana maana watu wengi wataifatilia for 7 day, naamini mpaka sasa watu wamesha paka na wamesha ona muwasho waliokutana nao na hawajakata tamaa. waliokwisha paka leteni ushuhuda wa muwasho
 
We,mbona una leta utani kwenye maskhara? Watu tupo serous
wala siko kwa utani ila nimetoa pendekezo ili kuiboresha dawa yetu...maana PILIPILI+CHUMV+LIMAO+KITUNGUU SAUMU=CHACHANDU YA MISHKAKI
 
Mh! Nitamuuliza binti nanii! Kama naye anataka niongeze ujazo!
 
Yaaaaaaaah,aaaaaaaaaaah,nafwaaaaaaaaaaaaa!mods piga ban huyo kitoabu,futa kabisa hii post,nakufa kwa pilipili huku usiku wa manane!yalaaaaaaaaah
 
ni sawa na kutest sumu kwa kuilamba, ooo dushelele ndogooo. utakufa umedinda we tia pilipili uone
Mkuu hiyo kitu me, nimeitumia kwa muda wa siku 7 namshukuru muumba hivi sasa mzigo wamaana
 
Back
Top Bottom