Pikipiki za polisi aina ya jie-peng (xl mchina) rangi nyeupe kwisha habari yake

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Pikipiki za Polisi aina ya JIEPENG (XLMCHINA) rangi nyeupe kwisha habari yake.

Police walinunua au walipewa msaada wa pikipiki 500 inchi nzima kwa ajili ya shughuli ya polisi,pikipiki hizo alikabidhiwa aliyekuwa IGP Bwana Said Mwema ili zigawanywe inchi nzima zisaidie shughuri za police.

Pikipiki hizo ambazo zimetengenezwa china muda huu napoandika bandiko hili haziko barabarani, zimeisha chakaa,ni lightoff,zimekuwa screpa ndani ya miaka mitatu tu tangu zitolewe, zilizopo barabarani hazizidi 20 inchi nzima.

Hapa nilipo mkoani Mtwara tumefanya survey, Manisapaa ya Mtwara/Mikindani pikipiki zote zimekufa i.e indicator zote zimepululuka,mabampa ya pembeni yameanguka, Site mirror zote zimetolewa, taa za mbele(headlight) zimepasuka, tyre zimekwisha. Hivyo hivyo Wilaya ya Masasi, Newala ,Nanyumbu, pia tumesurvey mkoa wa Lindi ni hivyo hivyo.

Nini cha kujifunza kutokana na kadhia hii:-

  1. Kama pikipiki zile zilitolewa kama msaada, basi msaada huo ulikuwa na agenda iliyojificha kwa sababu there is no free lunch under the sun, ndani ya msaada huo kuna watanzania wameumia au wachina wameshinda tenda na kutoa huduma mbovu mfano barabara, bidhaa fake n.k
  2. Kama pikipiki hizo zilinunuliwa basiprocument officer wa jeshi la polisi (au wizara ya mambo ya ndani ) alipewa mlungula na kukubali kuingiza pikipiki zisizokuwa na kiwango, huu ni muendelezo tu wa utumishi serikalini ambao siku za hivi karibuni umekosa kabisa weledi.
  3. Pia tunajifunza kwamba hakuna kitu toka china kihusucho mambo ya usafiri kitafaa katika shuguri za kipolisi, sekta hiyoina shughuri nyingi ngumu na nzito kwa hiyo inahitaji vifaa imara na vya kudumu, jeshi lifikirie upya kuagiza vitendea kazi vyake toka China, Kama ni pikipiki jeshi liagize pikipiki toka JAPAN , HONDA XL 125 and above ndizo zitafaa kwa shuguri za kipolisi. Heri kuagiza pikipiki chache zidumu kuliko kuagiza nyingi kwa ajiri ya ulaisi wa bei halafu zikae miezi 6 tu.

Mchezo huonakumbuka uliwahi kufanywa na jeshi la magereza miaka ya 80-85 ambapo wizara yamambo ya ndani chini ya waziri Alhaji Omary Mhaji waliagiza gari 60 aina yaVOLVO ,ilichukua miezi 6 tu gari zote zikawa grounded. Ikaonekana muagizaji alikula rushwa, basi waziri ilibidi awajibike.Na hili la pikipiki lina sura hiyo hiyo.

MYAKE: Police wasilete ujanja wa sindano wa kuchoma choma nguo halafu nyuma uzi unapita. Mfano kupiga raia au kupiga maandamano ya CUF halafu ndani ya jesh hilo kuna makosa ya jinai yakutisha.
 
Pengine sio fake ni utunzaji tu mbaya!

Utunzaji wa polisi jinsi ulivyo ...hata uwaletee best motorcycle in the world, zitachakaa baadaya ya muda mfupi tuu.
 
Huku mkoa wa manyara nyingi Bado zinafanya kazi, huko mikindani ni wah arising tu, ishu ni matunzo.
 
hii ni habari njema sana kwani hawa jamaa walipewe jina la tigo walikuwa wananyanyasa sana rais

ni heri ukutane na panya road kuliko hao jamaa
 
Back
Top Bottom