pikipiki bajaji pulser 180cc inauzwa bei rahis

Poxino

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
727
53
wadau pkpk tajwa hapo juu inauzwa 2.8 maelewano yapo ipo kaika hali nzuri sana ila vibali vyake vimeisha ina bidi ukinunua ulipie mana manahaijalipiwa ipo dar es salaam cm 0755984282 imetembea km 17568 tu matumizi binafsi NIPIKIPIKI YA INDIA
toke mwezi wa tano mwakajana vibali vyake havijalipiwa
 
cash 1.5 faster
 
2mill na Samsung tablet 2 au Samsung galaxy 3 ni original nakuachia mzigo huu lakini chini yahapo HAPANA ITAKUA NGUMU
 
Hivi hiyo ni bajaji?Au macho yangu yameona vibaya?Bajaji si ina miguu mitatu?

huliza huleweshwe mana huju bajaji nikampuni nakuna aina mbalimbali za pkpk zakampuni hiyo ikiwemo BOXER,PLATINA,DISCAVA,PULSER,BM100 nahiyo yamiguu3 IZO zote nibajaji SIKUZINGINE Wakunyumba usiseme kwasauti kwamba lazima bajaji iwe miguu 3 usiclem kila FIATI lazima liwe gari kubwa saivi wametoa garindogo pia hishi kwa kuhelewa na si kuclem mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom