sifongo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,896
- 5,302
Nimewahi msoma 6 akipinga selikali tatu. Sikumbuki ni wapi.
Ni kweli kuna kipindi alipinga lakini badae akasema amebadili msimamo baada ya kumsikiliza Jaji warioba kwa umakini,sasa sijui nini kitafuata maana mkuu wa kaya juzi kati kule dodoma aliulizwa nini msimamo wake juu hili suala la serikali tatu au mbili lkn hakutoa majibu........ngoja tukae mkao wa kupokea chochote.