Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,173
Mfululizo wa mauwaji unaoendelea sasa huko Burundi hauvumiliki na dunia ya watu wastaarabu haiwezi kukaa kando ikitizama kimya.
Watu 200+ inasemekana wameuliwa katika visa vya maofisa usalama wa serikali ya bujumbura kuwapiga 'masasi' raia wanaoaminika kuwa walishiriki kupinga kukanyagwa kwa katiba ya nchi kulikompatia Nkurunzinza uhalali haramu wa kugombea muhula wa tatu.
Rai yangu ICC wamkamate huyu jamaa akanyee debe.