Pictures of the amazing Arusha City council...

You sholud have included pics of Sanawari, mianzini, ngarenaro, Soko kuu, Main bus stand and daladala stand; new market at NMC grounds, kilombero market etc etc; in order to give a balanced view of the amazing Arusha city! barbs to you.
 
Acha masihara mkuu...utaharibu

Haiwezi kuharibika kaka. zote hizo ndizo zinazounda " jiji" la Arusha bana. Naipenda Arusha sana, ila nimesikitika kuona kuwa serikali imeshindwa kutumia fursa zilizopo kuifnya Arusha iwe jiji la ukweli. Hii jiji ya sasa ni siasa tu. Ingetakiwa jitihada za maksudi kulipa watu fidia na kupima hayo maeneo vizuri. Kwa fursa zilizopo AR, kama maeneo yakipimwa vizuri bei sio issue na watu wangelipwa fidia stahiki.
 
Nilikua hapo Mount Meru Jumapili and I can tell you its a classy hotel at least in Tanzania live alone the world at large.
The weather and environment is such elegant. One would wish to overstay if you book a place.
I could recommend honeymoon for couples there.
 
Picha nzuri lakini mbona naona umepiga picha za mahoteli ikiwamo Mount Meru Hotel,Kibo Palace na Palace Hotel.Hivi kweli tunapima jiji letu kwa idadi ya hoteli nzuri au uwajibikaji wa jiji katika kuhakikisha ustawi wa wananchi na jiji kwa ujumla.Kwa kipimo chako nadhani hapo hakuna kitu.Mbona hujaweka zile picha za mitaro ya maji ya kinyesi kinachomwagika maeneo ya barabara ya sokoine?
 
Hizi ni sehemu chache sana za mji, picha nyingi sana ni Za Mt meru hotel. Kwa kifupi Arusha Bado ni chafu sana , uongozi WA jiji una kazi kubwa kwenye suala la usafi.
 
Back
Top Bottom