mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,148
Wasaliti wamechanganyikiwa hawana lao chadema
Hapo ndio slaa alipozomewa
bila chadema mtu kama wewe ungefanyakazi gani coz hata buku7 lumumba wasingetoa
Nakutupiwa makopo ya maji, baada ya hapa akapata wazo la kuhalalisha gongo.
Mtakumbuka Mrema alivuma sana katika siasa za Tanzania. Baada ya watu kumgundua kuwa ni Msaliti ule umati uliokuwa unamfuata uliishia kumtelekeza. Siku hizi Mrema akipanda jukwaani huishia kupata watu kiduchu. Kama siyo CCM kumbeba asingepata hata ubunge wa Vunjo..... Kadhalika Zitto baada ya kugundulika kuwa naye ni Pandikizi la CCM, nampa Zitto miaka 2 tu.. mtajaona, naye ataishia kama Mrema