Picha zinaogofya:Palestina vs Isiraeli

Mi sioni huruma kwa hawa jamaa..yaaani wao wakiua wa israel poa tu..lkn kibao kikijeuka wanakimbilia magazetini ma kwenye tv kulia.aliyewaambia warushe roketi israel ni nani..si kwamba waliyataka wenyewe....dawa ya moto ni moto

Kwanini Israel anakalia kwa nguvu maeneo ya Palestine?
Wakati mwingine ni bora kunyamaza kuliko kuongea pumba!
 
ImageUploadedByJamiiForums1405106421.734522.jpg sikiliza hitler anasemaje kuhusu waisrael
 
Msinishangae bandugu!!!

mimi naona hawa viongozi wa serikali ya palestina hata hesabu rahisi kabisa zinawashinda. Mimi naamini ukiupigania uhuru unatakiwa uupate wewe unayeupigania ukiwa hai.

Manake haya ni maajabu ya binti chura!!! yaani waenda msituni wamchokoza kifafu, akikutoa nduki unakimbilia nyumbani kwako, unaingia kwa mlango wa mbele na kutokea mlango wa nyuma unasepa, kifaru akifika anawakanyaga kanyaga wanao ma mkeo, anawatia pembe watoto wa jirani yako na wanakijiji kwa ujumla,

Wewe unaibukia kwenye magezeti oooh! kifaru mkorofi, eti Kifaru hana chembe ya utu hata kidogo!!! kifaru anawaua watoto, Kifaru anaporomosha majumba ya wanakijiji.

Angalia sasa wameshawaponza raia wao zaidi ya 60 wameshauliwa na "kifaru"

wanavitumaini na kuvihusuuuuuudu vikombora wanavyovirusha kwenye pori la "kifaru" ambavyo havimdhuru kwa vyovyote huyu "kifaru"

Ni busara kwa wapalestina kujitambua kuwa kuna wakati haki yako inaweza kukuangamiza,

KWA NINI UFE KABLA YA WAKATI WAKO?

Haya ulioandika ndio mwisho wako wa kufikiri na kutambua ninauhakika ww kama sio ki dada cha kazi basi ni kibinti cha Shule ya masingi tena ya kata.
 
R.i.p Wapalestina.... Mmeyataka wenyewe....

Kuna Muarabu raia wa Israel amemtuhumu Netanyau kwa kushindwa kuwamaliza Hamas na Magaidi wote kwani Waarabu wengi wanaipenda Israel na uongozi wake hawawapendi Hamas na Hezbollah amemuomba Netanyau awamalize haraka magaidi kwani Waarabu wanataka kuishi kwa Amani na kufaidi akili za Wayahudi....
 
Kwa kweli huwa nashangaa sana. Wapalestina zaidi wanajidai na vitu 2. Moja ni kujilipua na kingine ni Maroketi. Huku kwenye kujilipua Waisrael wako chonjo siku zote kwa maana wanawajua attitude vizuri sana. Wamewakaba kila angle. Kwenye maroketi wakipiga yanatunguliwa angani au yanaachwa yabaangukia msituni. Madhara ni kidogo sana ila Wapalestina watashangilia ile mbaya... Ni lazima kukiri upungufu na kutafuta suluhu. Usijihusishe ktk vita usicyoweza kushinda... Hii ni kanuni ya vita. Wapalestina ombeni suluhu Waisrael siyo size yenu. By the way ulishasikia Waisrael wanapigana wao kwa wao? Lakini nyinyi mpaka sasa nchi yenu inaongozwa mapande mawili. Upande wa pili unachekelea chini chini...
 
Msinishangae bandugu!!!

mimi naona hawa viongozi wa serikali ya palestina hata hesabu rahisi kabisa zinawashinda. Mimi naamini ukiupigania uhuru unatakiwa uupate wewe unayeupigania ukiwa hai.

Manake haya ni maajabu ya binti chura!!! yaani waenda msituni wamchokoza kifafu, akikutoa nduki unakimbilia nyumbani kwako, unaingia kwa mlango wa mbele na kutokea mlango wa nyuma unasepa, kifaru akifika anawakanyaga kanyaga wanao ma mkeo, anawatia pembe watoto wa jirani yako na wanakijiji kwa ujumla,

Wewe unaibukia kwenye magezeti oooh! kifaru mkorofi, eti Kifaru hana chembe ya utu hata kidogo!!! kifaru anawaua watoto, Kifaru anaporomosha majumba ya wanakijiji.

Angalia sasa wameshawaponza raia wao zaidi ya 60 wameshauliwa na "kifaru"

wanavitumaini na kuvihusuuuuuudu vikombora wanavyovirusha kwenye pori la "kifaru" ambavyo havimdhuru kwa vyovyote huyu "kifaru"

Ni busara kwa wapalestina kujitambua kuwa kuna wakati haki yako inaweza kukuangamiza,

KWA NINI UFE KABLA YA WAKATI WAKO?

Mkuu natumia simu ila LIKE yangu umeipata. Umetoa mfano safi sana.
 
Great nation au nation ya mashoga unapigana na vikundi ambavyo havina silaha na pia wamewekewa vikwazo almost miaka 20.hii damu hautopotea ila ipo siku italipwa inshaallah.

Unapoteza muda wako kusema inshallah wala hiyo inshallah haitatokea.
 
Kwa kweli huwa nashangaa sana. Wapalestina zaidi wanajidai na vitu 2. Moja ni kujilipua na kingine ni Maroketi. Huku kwenye kujilipua Waisrael wako chonjo siku zote kwa maana wanawajua attitude vizuri sana. Wamewakaba kila angle. Kwenye maroketi wakipiga yanatunguliwa angani au yanaachwa yabaangukia msituni. Madhara ni kidogo sana ila Wapalestina watashangilia ile mbaya... Ni lazima kukiri upungufu na kutafuta suluhu. Usijihusishe ktk vita usicyoweza kushinda... Hii ni kanuni ya vita. Wapalestina ombeni suluhu Waisrael siyo size yenu. By the way ulishasikia Waisrael wanapigana wao kwa wao? Lakini nyinyi mpaka sasa nchi yenu inaongozwa mapande mawili. Upande wa pili unachekelea chini chini...

unataka kusema waisrael hawajapigana wao kwa wao?.
Hivi unajua maana ya resistance?mfano kama ANC ya kina mandela wangekata tamb na kukaa kimya leo wazungu wangekua bado wanatawala hapo.
Je ANC waliwashinda makaburu ama mwishowe dhamira iliwashitaki makaburu wakaachia?.
Roketi attack iko more symbolically na pia inawacost waisrael hata kuyadungua tu
 
R.i.p Wapalestina.... Mmeyataka wenyewe....

Kuna Muarabu raia wa Israel amemtuhumu Netanyau kwa kushindwa kuwamaliza Hamas na Magaidi wote kwani Waarabu wengi wanaipenda Israel na uongozi wake hawawapendi Hamas na Hezbollah amemuomba Netanyau awamalize haraka magaidi kwani Waarabu wanataka kuishi kwa Amani na kufaidi akili za Wayahudi....
atawamaliza vipi wakati mwisrael anaogopa kuingiza askari wake huko gaza eti wanaogopa watakufa.

Hii ngoma bado mbichi,kizazi hiki kitapita bila kuona suluhu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom