PICHA: Ziara ya Kinana Mtwara yafana

6a00d834522fa869e20120a7f14fcb970b-500wi
5.jpg
images
A2Cs9iDCIAAxlbk.jpg:large
297628_456468501041874_1754351058_n.jpg
aabb42bkopierahr0.jpg
strike2.jpg
picha+ya+wiki+hii.jpg
5-2-10+Arusha+Daladala.JPG
udsm_nkr5.jpg
 
Si wangeenda Moshi, Mwanza ama Arusha. Kwa nini wameenda Mtwara ambayo ni firewall ya CCM? Najua wakitoka huko wataenda Tanga, Tabora, Singida na Rufiji ambako siku zote ndiko kuna % kubwa ya wadanganyika
Nawale wengine mbona hawaendi huko
 
Kinandaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!Walllah ipo siku utajadaiwa hizi nyara za taifa letu,na utazilipa hata kwa damu yakoooooooooooooo....inauma sana jamani!!!Mayooooonene,sijui nilie kilingala au nilie kiwapi jamaaaaaaani.
 
wananchi hawahitaji kuelezwa ukweli,wanaujua. Ao wote ni mamluki wameandaliwa. Nani asiejua ndivyo mnavyofanya? Siasa zenu za majitaka zinafikia kikomo.
ukweli upi wanaoujua wananchi ambao pia hawapaswi kuambiwa/ mamluki wameandaliwa kwa kazi gani? tunavyofanyaje / siasa za maji taka zipi?
 
Si wangeenda Moshi, Mwanza ama Arusha. Kwa nini wameenda Mtwara ambayo ni firewall ya CCM? Najua wakitoka huko wataenda Tanga, Tabora, Singida na Rufiji ambako siku zote ndiko kuna % kubwa ya wadanganyika

Wanazuia denge waliomo ndani kwanza. Si unajua tena huko Moshi, Mwanza ama Arusha walisharuka tayari wasije wakakosa kote. Huko ni kwenda kurudisha denge waliotoka kundini si unajua CCM ndio kilichokuwa na wanachama wote Tanzania.
 
Back
Top Bottom