Picha za ziara ya waandishi wa habari kwenye vituo vya umeme

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,164
5,761
ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI WATEMBELEA VITUO VYA UMEME VYA MBAGALA,G/MBOTO NA KINYEREZI


0.JPG
Waandishi wakiwasili kituo cha kupoza umeme Mbagala wakipokewa na Meneja Miradi Mhandisi Emmanuel Marirabona,(wa tatu kushoto) wakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba,(kushoto) na Meneja Miradi-Ufuaji Umeme, Mhandisi Simon Jilima,(wa pili kushoto).


5.JPG
Transfoma ya kuchuja nguvu za umeme iliyopo Mbagala.


6.JPG
Wafanyakazi wakiendelea na kazi katika kituo cha Mbagala.


7.JPG
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco,Felchesmi Mramba,(kulia) na Meneja Miradi Emmanuel Marirabona.


8.JPG
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Assah Mwambene (kulia) akizungumza na waandishi zamira ya kutembelea vituo vya kuzalisha Umeme Jijini Dar es Salaam akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco,felchesmi Mramba.


9.JPG
Waandishi wakiwa katika kituo cha Umeme Gongolamboto.


10.JPG
Transfoma ya inayowekwa Gongolamboto.


11.JPG
Mashine ikisafisha mafuta ya transfoma yaliyopo katika mapipa.


12.JPG
Mafuta ya transfoma


14.JPG
Waandishi wakiwa kituo cha Kinyerezi.


15.JPG
Maofisa habari wa Tanesco.Neema Mbuja (wa pili kushoto) na Khadija Ahamed (kulia).


16.JPG
Waandishi wakioneshwa eneo la Kinyerezi.


17.JPG

Jengo la Utawala likiendelea kujengwa kituo cha Kinyerezi.


18.JPG
Waandishi wakipewa maelezo na Meneja Miradi -ufuaji umeme,mhandisi Simon Jilima (katikati)


19.JPG
tenki litakalowekwa maji ya kuzimia moto endapo utaleta taabu Kinyerezi.


20.JPG
Transfoma kubwa iliyopo kituo cha Kinyerezi.

 
Hiyo ndo KANTANGAZEEE! ila mkienda kinyume na hapo mnakula mkong'oto! hakuna taasisi inayotumika kama hii hasa nikiangalia magazeti kama 'jambo leo'
 
Back
Top Bottom