picha za vinega zinaongea bila hata maneno

attachment.php
 
Hii KITU IMEWASHTUA WENGI SANA, LEO ASUBUHI GERALD ALIKUWA ANAONGEA MPAKA MAPOVU YANAMTOKA, UKIENDA KWENYE WALL YA KALAPINA ANAPOROMOSHA MATUSI KAMA KICHAA,...OOH SISI NDIO WANAHRAKATI WA KWELI OOH TULIANZA MOVEMENT ZAMANI OOH..WASE..NG HAWATUWEZI!!! LAKINI WOTE WANAOPINGA HIZI MOVEMENT WAMEUPATA UKWELI
KUPITIA HZ PHOTO..
E.G

  • KalApina Kikosi Cha Mizinga Hakuna mtu anaewazuia kwenda huko sema nyie hamuwezi nipeleka huko sisi wenye mji tupo leaders <abbr title="Saturday, November 26, 2011 at 11:02am" data-utime="1322294575">Saturday at 11:02am</abbr> · 1


  • KalApina Kikosi Cha Mizinga Habari zenu za chadema na ufreemasons pelekeni huko msiniletee mimi hapa killuminati wase.nge wakuja<abbr title="Saturday, November 26, 2011 at 11:05am" data-utime="1322294719">Saturday at 11:05am</abbr> · 2
    iLA ROHO INAMUUMA KALAPINA KULIKO HATA RUGE, SIJUI KWANINI.


 
Hii IMEWASHTUA WENGI SANA, ASUBUHI GERALD ALIKUWA ANAONGEA MPAKA MAPOVU YANAMTOKA, WALL YA KALAPINA ANAPOROMOSHA MATUSI..OOH SISI NDIO WANAHRAKATI WA KWELI OOH TULIANZA MOVEMENT ZAMANI OOH..HAWATUWEZI!!! LAKINI WOTE WANAOPINGA HIZI MOVEMENT WAMEUPATA UKWELI
KUPITIA HZ PHOTO..


Mkuu kala pina hakutegemea kitu kama hiki. ameona kwenda kule imemshushia hadhi ndo maana anakimbilia vyama. uchaguzi uloisha aligombea udiwani kinondoni kupitia CUF. sasa anaitwa ccm b kitaa. mia
 
karapina bado anafikili hiphop nikupasha nondo ili kifua kivimbe. eti anajiita wazawa. joh makini alimchana kwenye nyimbo kwamba wanaficha macho yao ili tusione machozi.mr.ebbo toka tanga..anafanya viruli mbele ya wazawa. nawapiga nyumbani nawapiga ugenini. mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom