Picha za utupu ni dili kwa wadada wa chuo

Maisha yana siri nzito sana ,wanaokuchukia ndio wanaokukubali na wanaokukubali ndio wanaokufitini daima katika maisha yako.Wanasema kwenye ridhiki fitina haikosekani ila nakushauri ,kwenye hila usitie neno ,mtu akija kukuletea habari za mtu mwingine ni vyema ukamuambia ngoja aje ili tuweze jadili kwa pamoja.Mwanaume hautakiwi kuwa mnafiki na mbea.

Mwanaume unatakiwa kuwa na kifua cha kutunza siri na sio kuwa na kifua cha kuvutia warembo na kisichostamili kuhifadhi maneno,kazi ya kichwa ni kufikilia na kutathimini mambo sio kunyolea kiduku au kuvalia kofia.

Ushamba wa akili ni kumpa bar maid siri za mkeo na kutembea na smart phone yenye picture za utupu za mkeo,napatwa na simanzi napo ona mwanaume mwenye mke ana mtreat mke wake kama bar maid na anamreat bar maid kama mke.

Binti wa chuo unaandaje date na mwanaume na hauna hata kumi?kama kweli wewe ni mwanamke msomi unayejitambua mbona unapelekwa Guest na mpenzi wako na sio nyumbani kwa mpenzi wako?unataka kuolewa na tegemezi wa mawazo,pesa ,na ushauri.?

Wanaume wanapenda wanawake wenye utashi na wenye kujitambua,usitume picture za utupu kwa boyfriend wako, embu jiulize boyfriend wako anakuomba umtumie picture za utupu hujiulizi za nini ?....Jitathimini sababu wewe ni msichana mzuri na bora mume bora anakungojea acha kuigiza zingatia masomo.

Only way to live a life respectfully is to earn respect and believe me it is as easy as earning a million dollars in a day.
They need much awareness in fact you do the best to rebuilding their mind.
 
Wadada wa chuo wapo Instagram!
Tutawapelekea ujumbe wao insta kwa njia ya pcha na vdeo.Maelezo hawasomagi ayo
 
Back
Top Bottom