picha za ngono au video

Hazina faida ila zina hasara tu,
................... au una unaplan kuwa na sera za Cameroon??????????????????????????
 
nimepita hapa.
...Mamdenyi haya mambo ya kupita na kuacha maandishi ya kizamani; enzi zile za kuandika "John Gangwe kapita hapa" Siku nyingine uwe unapita kimya (bila kuandika) kila aliyepita akiandika hapa si itakuwa balaa.
 
Unamfahamu mtu anayetwa kimbweka mtafute ana production firm ya hii kitu....
 
Back
Top Bottom