Picha za leo

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
ingine.jpg


Maoni toa mwenyewe!!!



ingine wadau


mh.jpg
 
Hako kajamaa nima kweli kapo serious sana kanalekebisha afya ahahahahaaaaaaa
 
Basi wazungu kwa kupenda design hii! Sijui wanapataga nini hapo.

Hapo wanapata kitu kamili chenye asili yake haswaaa. Angalia vizuri hiyo picha nywele kipilipiliiii, rangi ya mwafrika halisi hakuna cha kuchovya hapo! Bila shaka wanawashangaa sana wanaojibadilisha na kutamani vya wenzao, JIVUNIE CHAKO! JIAMINI WE NI BORA KWA JINSI ULIVYO! Tuige mfano wa Mbaba huyu.
 
Najaribu kutafakari hii picha huyu jamaa amePozi, Sasa kama ndio yuko Chooni anakata Gogo atakua na sura ya aina gani?
attachment.php
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom