Picha za Leo Mkutano wa CDM Tengeru Arusha

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,302
24,187
Wakuu net bado inaleta longolongo lakini cheki clipp hii ambayo TBC1 nao wameionyesha lakini wakainyima rangi!!!!




View attachment 50642 View attachment 50643 View attachment 50641 View attachment 50644 Wakuu picha ani nyingi sana ila kwa kuanzia angalie hizo.
Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii. Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeee. Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee.


Nguvu ya Umma katika picha-video siku ya kufunga kampeni ya uchaguzi Arumeru Mashariki:


Video kwa hisani ya Tangibovu wa youtube
 
Last edited by a moderator:
Sina cha kuongea zaidi ya kuwaombea makamanda wote afya njema, usimamizi na ulindaji wa kura hiyo kesho..hakika wameru wameamua!umati umenisisimua sana!
 
Asante kwa picha. Napenda picha zako kwa vile zina tarehe picha iliyopigwa.
 
Asante kwa picha. Napenda picha zako kwa vile zina tarehe picha iliyopigwa.

Nataka magamba wakose cha kusema kabisa.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Duh, hapa CCM wakubali yaishe tu, maana mkutano wa kwao ndo huu hapa kwenye picha inayofuata. Hata waibeje hapa hatoki mtu
photo.JPG
Picha kwa hisani ya michuzi blog
 
Mungu awabariki wana wa Arumeru Mashariki wote; awape hamasa ya kwenda kupiga kura kesho. Hakika jimbo hili litapata ukombozi wa kweli kesho. Mungu ibariki CDM, Mungu wabariki Arumeru Mashariki.
 
Tulinza na mungu tunamaliza na mungu. Walianza na rushwa wanamaliza na rushwa na matusi. Wenye akili tumeshakula 40k zao akili tunayo
 
Yumkinika hata kama wakiiba sidhani kama zitatosha kuifanya CDM isiibuke mshindi, labda sana sana wajitahidi kupunguza aibu ya kushindwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom