Picha yangu ya leo ni hii

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
SchoolBus.jpg

Students board a school bus at Mbagala in Dar es Salaam yesterday. The bus is one of five donated by CRDB Bank in an effort to ease the transport problems facing students in the city. (Photo: Selemani Mpochi)
 
CCM%20pres.jpg

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, akimtambulisha mgombea mwenza, Dk. Mohammed Gharib Bilal, kwa wanachama na wapenzi wa chama hicho wakati wa mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma jana jioni.
 
hivi Tanzania hamna wanasiasa vijana,mie hiko kibabu bilal sijawa impressed nacho....si bora hata wangemchukua John Mashaka!:lie::fish2:
 
SchoolBus.jpg

Students board a school bus at Mbagala in Dar es Salaam yesterday. The bus is one of five donated by CRDB Bank in an effort to ease the transport problems facing students in the city. (Photo: Selemani Mpochi)

Well done CRDB....
 
it looks so smart, well done crdb, go!
 
hivi Tanzania hamna wanasiasa vijana,mie hiko kibabu bilal sijawa impressed nacho....si bora hata wangemchukua John Mashaka!:lie::fish2:

He is too old and looks tired... baada ya hekaheka za kampeni si ndio RIP
 
Kuhusu mabasi: hivi yanamilikiwa na nani kwa sasa? Je, wanafunzi wanalipa nauli kama kwenye daladala?
 
Hiyo sasa ni benki moja iliyoona eneo muhimu la kutoa huduma za jamii, hivi benki zote tulizonazo hapa kwetu kila moja ikitoa angalau mabasi mawili,tatizo la usafiri kwa wanafunzi litandelea kuwa na makali yaliyopo?Well done CRDB.
 
Yapo chini ya Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam a.k.a UDA! Wanafunzi (wakiwa wamevaa sare za shule au wakiwa na vitambulisho), wanalipa sh. 100/=
 
Hiyo sasa ni benki moja iliyoona eneo muhimu la kutoa huduma za jamii, hivi benki zote tulizonazo hapa kwetu kila moja ikitoa angalau mabasi mawili,tatizo la usafiri kwa wanafunzi litandelea kuwa na makali yaliyopo?Well done CRDB.

Nadhani si mabenki tu, hata makampuni mengine (mobile phones, hard and soft drinks, n.k)! Kwa kweli CRDB, wanastahili Big Ups!
 
...Uwezo wa kuwa na mabasi ya wanafunzi upo kabisa kama wadau wangeshirikishwa kama hizi kampuni za simu na bia wana pesa sana....Keep it up CRDB!
 
kazi hapo ni jinsi ya ku-maintain hayo mabasi!bora crdb ingeimarisha kitengo cha huduma za jamii kusimamia mabasi yao wenyewe.hao UDA mabasi yao wenyewe yamewashinda,haya watayaweza.Good move CRDB, but i dont want to give a benefit of doubt to UDA.No,no,no!
 
Back
Top Bottom