Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,015
- 156,374
View attachment 9256
mimi na mama watoto wangu tukiwa tumependeza.
Mmeona bi mkubwa alivyopendeza na miwani yake?
Bujibuji,
Hongereni sana mzae watoto wa kike na wakiume.
watch mine too
watch mine too:d
Mmmh! Makofia yako ya kigaidi zaidi.watch mine too
mbona ndoa yako inatia shaka?[/QUOTE]
Si kweli ni staili yangu ya maishatu
mungu hafanani na manyanikama wamefunga ndoa hii kanisani, basi mungu aonaye sirini na awabariki na kuwajazi!
Tazama, wote wameumbwa kwa sura na mfano wake!
Khaaa, hongereni.... na hapo mkifyatua mtoto sipati picha atafananaje ????[/QUOTE]
ATAFANANA NA MZUKA, KWANI WEWE HAUONI?