Picha: Tujikumbushe miaka 50 ya utawala wa CCM Tanzania!

Warren.T

JF-Expert Member
May 3, 2015
900
318
Tujikumbushe miaka 50 ya utawala wa CCM Tanzania!
 
Attachments

  • 1440526502440.jpg
    1440526502440.jpg
    91.7 KB · Views: 805
  • 1440526532665.jpg
    1440526532665.jpg
    11.4 KB · Views: 813
  • 1440526545660.jpg
    1440526545660.jpg
    17.4 KB · Views: 814
  • 1440526567260.jpg
    1440526567260.jpg
    13.6 KB · Views: 771
  • 1440526588298.jpg
    1440526588298.jpg
    21.8 KB · Views: 774
  • 1440526609250.jpg
    1440526609250.jpg
    12.5 KB · Views: 796
  • 1440526627744.jpg
    1440526627744.jpg
    106.6 KB · Views: 785
  • 1440526668772.jpg
    1440526668772.jpg
    36.4 KB · Views: 797
  • 1440526727839.jpg
    1440526727839.jpg
    96.8 KB · Views: 796
  • 1440526766525.jpg
    1440526766525.jpg
    28.4 KB · Views: 824
  • 1440526819029.jpg
    1440526819029.jpg
    20.5 KB · Views: 845
  • 1440526858999.jpg
    1440526858999.jpg
    52.3 KB · Views: 1,031
  • 1440526902615.jpg
    1440526902615.jpg
    48.1 KB · Views: 908
  • 1440526937890.jpg
    1440526937890.jpg
    33.7 KB · Views: 918
  • 1440526965736.jpg
    1440526965736.jpg
    72 KB · Views: 876
  • 1440527024635.jpg
    1440527024635.jpg
    49.4 KB · Views: 1,545
  • 1440527066502.jpg
    1440527066502.jpg
    50.1 KB · Views: 845
  • 1440527129010.jpg
    1440527129010.jpg
    10 KB · Views: 1,577
Ndoto ya Kikwete kuongoza maisha mara hii akitumia jina la MAGUVULI A.K.A Mkurupukaji.
Ndio maana atamnadi kwa kutumia akiba yote ya hazina ya Wananchi, kwa mfano kuwanunua kwa Mabilioni wapinzani wahamie ccm, kununua Wasanii wenye njaa kali na pia kuwavimbisha kwa pesa baadhi ya Viongozi wa CCM waliokata tamaa na ccm iliyooza.
Magufuli akimaliza ni zamu ya Ridhiwani.
Ccm mwiko
 
Umesahau kwamba leo hata wewe licha ya ulofa ulionao unatumia smart phone.

Weweseka tu wewe huku tiba ya maradhi yako ya kufuata kisichipaswa kufuatwa iko tayari utapona tu
 
Tumeona hizo picha za upande huu. Sasa hebu tuoneshe na upande wapili Yaani utuonesha na mafanikio.....mfano umetuonesha wanafunzi wanakaa chini sasa tuoneshe waliokaa kwenye madawati au kwa mfano umetuonesha watu masikini wanaishi kwenye nyumba duni sasa tuoneshe na nyumba za kifahari maana si kwamba Tanzania kuna umaskini tu bali na utajiri upo. Tuoneshe vyote ili tulinganishe kisha tuone tatizo ninini.....je ni watu wenyewe ndio tatizo ama ni mfumo? Na je hao matajiri ni ujanja wao au wametajirika na mfumo? Au ni utofauti wa elimu? Yaani kukaa kwenye dawati na kukaa chini ubongo unaathirikaje? Fanya hivyo sasa........!
 
Yaani kuna watu mawe sijaona kama huyu mleta post.
Je ukiwekewa picha za Marekani miaka yake ya mwanzo ilivyokuwa utasema hizo ni nafuu.

Yaani wewe unataka maisha ya watu wooote wawe sawa.Hiyo marekani mpaka leo watu wanalia ajira hakuna.
Nenda Ufaransa uone watu wanavyolia na ajira.

Ndio maana nasema nchi ya kusadikia ambayo duniani haipo mnayosburia mnapumbazwa na watu wanaochezea akili zenu.

Hakuna maisha magum kama aliyopitia Yesu Kristo.
 
Ameweka mpaka picha ya mgonga kokoto, nje ya CCM hawa hawatakuwepo au wote watakua wanamiliki makarasha ya kuvunjia kokoto, yaani sijamwelewa kabisa. Hata hivi hajaambatanisha udhibitisho, kuwa hizo picha zote zinahusu watanzania maana mpaka makambi ya wavuvi nayo umeweka,wafanya biashara ndogondogo kama mama muuza samaki hii biashara itakomeshwa, au itaboreshwa siasa jamani. Ndiyo maana wenzetu Kenye wanapiga marufuku unywaji pombe haramu, sisi tunafikiria kiziboresha ziuzwe kama viloba vinauzwa hivi sasa, mpaka kwa wauza maji ya kutembeza.
 
Tatizo kubwa ni ahadi hewa,sera hewa,matumaini hewa,ulaghai wa viongozi nk uliambiwa ukiichagua ccm kero zitakwisha ,ukichagua ccm italeta maendeleo-hii ni ajabu kwani sijaona ccm ikizalisha ili maendeleo yapatikane nimesikia propaganda tuu.nimesikia maisha bora kwa kila mtanzania,imebaki ni ndoto ya mwendawazimu.ulaghai wa nini wakati wenye mamlaka ni nyie.nimesikia madeni ya watumishi yatalipwa kabla ya august 2015 hadi leo watumishi wanasononeka kwa kutolipwa madai yao.ccm ni janga la taifa.ing'olewe tu.
 
Tumeona hizo picha za upande huu. Sasa hebu tuoneshe na upande wapili Yaani utuonesha na mafanikio.....mfano umetuonesha wanafunzi wanakaa chini sasa tuoneshe waliokaa kwenye madawati au kwa mfano umetuonesha watu masikini wanaishi kwenye nyumba duni sasa tuoneshe na nyumba za kifahari maana si kwamba Tanzania kuna umaskini tu bali na utajiri upo. Tuoneshe vyote ili tulinganishe kisha tuone tatizo ninini.....je ni watu wenyewe ndio tatizo ama ni mfumo? Na je hao matajiri ni ujanja wao au wametajirika na mfumo? Au ni utofauti wa elimu? Yaani kukaa kwenye dawati na kukaa chini ubongo unaathirikaje? Fanya hivyo sasa........!

Yeye ameleta za upande hasi nawe leta za mafanikio kama kuna mafanikio uliyoyaona.
 
Yaani kuna watu mawe sijaona kama huyu mleta post.
Je ukiwekewa picha za Marekani miaka yake ya mwanzo ilivyokuwa utasema hizo ni nafuu.

Yaani wewe unataka maisha ya watu wooote wawe sawa.Hiyo marekani mpaka leo watu wanalia ajira hakuna.
Nenda Ufaransa uone watu wanavyolia na ajira.

Ndio maana nasema nchi ya kusadikia ambayo duniani haipo mnayosburia mnapumbazwa na watu wanaochezea akili zenu.

Hakuna maisha magum kama aliyopitia Yesu Kristo.

Ujumbe umefika kwa mtoa hoja. Busara, hekima na staha huitajika kufikisha ujumbe ili usilete migongano ya kifikra. Mwasisi wa Taifa hili alitupa falsafa ya misingi ya maendeleo: Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi bora. Kujadili maendeleo tujikite kwenye hiyo falsa.
 
Umesahau kwamba leo hata wewe licha ya ulofa ulionao unatumia smart phone.

Weweseka tu wewe huku tiba ya maradhi yako ya kufuata kisichipaswa kufuatwa iko tayari utapona tu

Ulikuwa unataka kusemaje mkuu maana ni km umeishia njiani...
 
Kuna watu nao wanasiliba sana.

Hakuna Kiongozi yoyote, kutoka chama chochote atakaebadilisha maisha ya sisi walalahoi. Tusiongelee upenzi tuwe wakweli muwekeni mtu yoyote mnaemnataka nyinyi na hali itaendelea kubaki hivi hivi, janga la umasikini litaendelea kuwepo.

Tena nna uhakika wengine wanaochonga sana wakipewa nchi nina uhakika wataididimiza nchi zaidi.

Watu wanapiga piga kelele kwa njaa na uchu wa madaraka
 
Hiii ina husika vipi na serikali..?

attachment.php

na huyu nae kusugua gaga mpaka
serikali ndo ije kumsugua...?
attachment.php
 
Tumeona hizo picha za upande huu. Sasa hebu tuoneshe na upande wapili Yaani utuonesha na mafanikio.....mfano umetuonesha wanafunzi wanakaa chini sasa tuoneshe waliokaa kwenye madawati au kwa mfano umetuonesha watu masikini wanaishi kwenye nyumba duni sasa tuoneshe na nyumba za kifahari maana si kwamba Tanzania kuna umaskini tu bali na utajiri upo. Tuoneshe vyote ili tulinganishe kisha tuone tatizo ninini.....je ni watu wenyewe ndio tatizo ama ni mfumo? Na je hao matajiri ni ujanja wao au wametajirika na mfumo? Au ni utofauti wa elimu? Yaani kukaa kwenye dawati na kukaa chini ubongo unaathirikaje? Fanya hivyo sasa........!

Nionyeshe nyumba za kifahari????yaani nipoteze mda wangu kuonyesha ufahari wa wezi wa rasilimali za taifa hili???nani asiyezijua????
 
Umesahau kwamba leo hata wewe licha ya ulofa ulionao unatumia smart phone.

Weweseka tu wewe huku tiba ya maradhi yako ya kufuata kisichipaswa kufuatwa iko tayari utapona tu

Wenye smartphone tanzania ni asilimia ngapi mkuu???Tunaambiwa kuwa ailimia 80 ya watanzania ni wakulima,na kwa taarifa yako hao wote ni masikini!!!
 
Hiii ina husika vipi na serikali..?

attachment.php

na huyu nae kusugua gaga mpaka
serikali ndo ije kumsugua...?
attachment.php

Serekali mbovu huzaa magenge ya uhuni,biashara fake(ndo maana wanamuandaa nyau kutengeneza mishikaki),bidhaa fake,watu kujichukulia sheria mikononi,watu kujitengenezea sheria zao wenyewe e.t.c kwa kifupi serekali ya kihuni kama ya CCM huzaa uhuni unaouona hapo juuu!!!
 
Yaani kuna watu mawe sijaona kama huyu mleta post.
Je ukiwekewa picha za Marekani miaka yake ya mwanzo ilivyokuwa utasema hizo ni nafuu.

Yaani wewe unataka maisha ya watu wooote wawe sawa.Hiyo marekani mpaka leo watu wanalia ajira hakuna.
Nenda Ufaransa uone watu wanavyolia na ajira.

Ndio maana nasema nchi ya kusadikia ambayo duniani haipo mnayosburia mnapumbazwa na watu wanaochezea akili zenu.

Hakuna maisha magum kama aliyopitia Yesu Kristo.

Sisi Tanzania masikini ni zaidi ya asilimia 80 na matajiri ni chini ya asilimia 30,marekani umasikini ni chini ya 30 na utajiri ni zaidi ya asilimia 80,kwa hiyo kitendo cha kuilinganisha Tanzania na marekani upo nje ya point tayari!!! Halafu unazungumzia marekani miaka ya nyuma eti ilikuwa chini,sisi miaka hamsini ya uhuru tumepiga hatua gani kama siyo kurudi nyuma?????,kwa mfano zamani tulikuwa na viwanda kibao kama general tyre,viwanda vya chuma,viwanda vya magari(kama vile kiwanda cha magari cha chapa nyumbu) sasa hivi hivo viwanda viko wapi?????mda unavyozidi kwenda ndo tunarudi nyuma!!!
 
Back
Top Bottom