PICHA: Rais akiangua kicheko kizito baada ya kuzindua Bunge Maalum la Katiba

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein, -Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta-na Makamu -Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Suluhu Samia Hassan wakifurahia jambo mara baada ya Rais -kulihutibia Bunge hilo Ijumaa -mjini Dodoma Machi 21, 2104

attachment.php
 
Attachments

  • 1395488679519.jpg
    1395488679519.jpg
    43.8 KB · Views: 3,963
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein, -Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta-na Makamu -Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Suluhu Samia Hassan wakifurahia jambo mara baada ya Rais -kulihutibia Bunge hilo Ijumaa -mjini Dodoma Machi 21, 2104

wanasiasa ndio wanaokula mema ya nchi hii bhana,,,ila tuendako muungano huu utakua unajengwa kinguvu,,,hotuba ya jana imeshaongea
 
Wanacheka baada ya kukamilisha ishu yao ya kulazimisha serikali 2!
Mkuu anawaambia hawakunizomeaaaaa.... Nimewazidi kete...
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein, -Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta-na Makamu -Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Suluhu Samia Hassan wakifurahia jambo mara baada ya Rais -kulihutibia Bunge hilo Ijumaa -mjini Dodoma Machi 21, 2104

anacheka baada ya kuweka msimamo wa ccm juu ya katiba mpya
 
Hivi kati ya selikari 2 na 3,ipi ina faida nyingi na ipi ina hasa nyingi katika jamii yetu.....isije ikawa janja ya wanasiasa kutafuta njia mpya ya kula mema ya nchi...:wave:
 
Tusiwalaumu wanasiasa, tujilaumu wenyewe. People choose leaders they deserve! Watanzania tunaweza kujilaumu kwa kuzalisha wasomi waoga na wanafiki. Nchi hii imejaa wasomi wanaojisifia idadi ya vyeti lkn waoga kuliko watz wasio kuwa na elimu. Narudi tena tusiwalaumu wanasiasa, tujilaumu wenyewe na wasomi wa nchi. Nchi hii imejaa wasomi wasio thamini elimu zao badala ya uishia kujipendekeza kwa wanasiasa na watu wenye pesa au madaraka.
 
Mkuu remote jaribu kuwa Mstaarabu,jenga hoja badala ya kuporomosha matusi kwa raia wenzako
 
Hili la kiongozi wa nchi kuwa Mwenyekiti au na wadhifa mwingine wowote mkubwa ndani ya chama chake kwa kweli na lenyewe liangaliwe upya! Alichokifanya Kikwete jana sioni umuhimu wa kuundwa kwa tume ya Warioba wala kuwepo kwa kikao cha bunge la katiba hivi sasa huko Dodoma maana kumbe serikali tayari inamsimamo wake hiki kinachoendelea ni maigizo tu. Huu ni uhuni na ukatili wa hali ya juu dhidi ya fedha za walipa kodi masikini wakupitiliza wa Kitanzania.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein, -Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta-na Makamu -Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Suluhu Samia Hassan wakifurahia jambo mara baada ya Rais -kulihutibia Bunge hilo Ijumaa -mjini Dodoma Machi 21, 2104

attachment.php

....Sawa kwa kutuona waTZ hamnazo.... kicheko hiki ni cha kuharibu mchakato mzima wa kuundwa kwa katiba
 
sijawahi kuona rais wa ajabu kama huyu anaongea na wabunge wa katiba na akijua wana mitizamo tofauti badala ya kuongea kama rais kwa kuwaweka sawa wajumbe anaongea kama yupo kwenye kikao cha nec ni hatari sana kwa taifa,anakwenda mbali zaidi anasema serikali tatu labda yeye aondoke madarakani huyu ndio rais,anamshambulia warioba kama maoni ni ya warioba ilihali mawazo ni ya watanzania......
 
Mh!kazi kweli kweli,rais alisema kama hata wakifikia option hata ya kuvunja muungano it is ok,but yeye awe ameondoka madarakani,achen uzushi huo.
 
Mlitaka anune kama yule babu yenu mwenye roho mbaya kama kenge mgumba??
 
sijawahi kuona rais wa ajabu kama huyu anaongea na wabunge wa katiba na akijua wana mitizamo tofauti badala ya kuongea kama rais kwa kuwaweka sawa wajumbe anaongea kama yupo kwenye kikao cha nec ni hatari sana kwa taifa,anakwenda mbali zaidi anasema serikali tatu labda yeye aondoke madarakani huyu ndio rais,anamshambulia warioba kama maoni ni ya warioba ilihali mawazo ni ya watanzania......

Serikali ya tatu utapatikana akiwa yupo madarakani.
Hana hoja nguvu wala utashi WA jutyshauri au kutyshawishi katika mambo lolote la maana.
Kitu pekee ambacho anaweza kufundusha watu Ni namba ya kuwa wajinga na ndiyo kitu kinachovutia wengi wamuonapo.
 
ukishakuwa mwanaCCM obvious akili yako haiwez kuwa TIMAMU sorry kwa wanaCCM ,thats LOGIC

ilipokuwa nchi ya chama kimoja nawe hukuwa TIMAMU, baba yako hakuwa TIMAMU, mama yako hakuwa TIMAMU na ukoo wako haukuwa TIMAMU. think before you spell a word!
 
Back
Top Bottom