Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
chademaa ehheeee....... Ukawa, cuf eheeee.,....., nrd, nccr mageuzi.....
Mabtia, tumeamua kuweka mbele maslahi ya tanzania mbele....
Tuliowapa mamlaka wameshindwa.... So sisi tumechukua dhamana hiyo...
 
Mbatia angekuwa mjanja ange vua ubunge aliyo pewa na Prof Jakaya Mrisho Kikwete!
 
Wakati ndio sasa Mabadiliko ya kweli yameanza jangwani hadi ikulu UKAWA twende Nchi hyo mikononi mwetu lain kama tunanawa vile this is what I was waiting for since 2005
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom