PICHA: MWILI wa aliyekuwa KATIBU wa CCM Mkoa wa MOROGORO A.Kipangula; NAPE yuko Mazikoni

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

[h=3]MWILI WA ALIAYEKUWA KATIBU WA CCM MKOA WA MOROGORO ASHA KIPANGULA WAWASILI MKOANI IRINGA KWA MAZISHI[/h]

DSC_6862.jpg

Vijana wa CCM wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Asha Kipangula

DSC_6865.jpg

Jeneza likiingizwa nyumbani kwa marehemu mjini Iringa

DSC_6803.jpg

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, John Chiligati akiagana na baadhi ya
waombolezaji kabla ya mwili wa aliyekuwa Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro
Mayr Chipangula, kuondoka Hospitali ya Taiafa Muhimbili Dar es Salaam,jana asubuhi kupelekwa Iringa kwa ajili ya maziko.

DSC_6810.jpg

Msafara wa kuupeleka mkoani Iringa mwili wa marahemu Asha Kipangula
ukiwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro jana, ukitokea Dar es Salaam, ambapo
kwenye ofisi hiyo ulisimamishwa kwa muda kutoa fursa kwa wana-CCM na
waombolezaji wenmgine kuaga

DSC_6837.jpg

Muombolezaji akiangua kilio nyumbani kwa marehemu mjini Iringa

DSC_6825.jpg

Mmoja wa viongozi wa CCM akilia kwa huzuni baada ya mwili kufika Morogoro jana

[h=3]MWILI WA ALIYEKUWA KATIBU WA CCM MKOA WA MOROGORO ASHA KIPANGULA WAWASILI MKOANI IRINGA KWA MAZISHI[/h]

DSC_6862.jpg

Vijana wa CCM wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Asha Kipangula
DSC_6865.jpg

Jeneza likiingizwa nyumbani kwa marehemu mjini Iringa
DSC_6803.jpg

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, John Chiligati akiagana na baadhi ya
waombolezaji kabla ya mwili wa aliyekuwa Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro
Mayr Chipangula, kuondoka Hospitali ya Taiafa Muhimbili Dar es Salaam,jana asubuhi kupelekwa Iringa kwa ajili ya maziko.

DSC_6810.jpg

Msafara wa kuupeleka mkoani Iringa mwili wa marahemu Asha Kipangula
ukiwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro jana, ukitokea Dar es Salaam, ambapo
kwenye ofisi hiyo ulisimamishwa kwa muda kutoa fursa kwa wana-CCM na
waombolezaji wenmgine kuaga

DSC_6837.jpg

Muombolezaji akiangua kilio nyumbani kwa marehemu mjini Iringa
DSC_6825.jpg

Mmoja wa viongozi wa CCM akilia kwa huzuni baada ya mwili kufika Morogoro jana
DSC_6831.jpg

Katibu wa CCM, Mary Chatanda akiangua kilio mwili wa marehemu Asha Chipangula ulipofikishwa nyumbani kwao Iringa jana jioni
DSC_6845.jpg

Sheikh Mohammed Kairo akiongoza dua, mwili wa marehemu Asha Kipangula uliowasili mjini Morogoro jana
DSC_6868.jpg

Nape akizungumza na baadhi ya waombolezaji mjini Morogoro. Aliyesimama ni Kada wa CCM, Asas
DSC_6851.jpg

Kiongozi wa msafara, LKatibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itiladi na
Uenezi CCM, Nape Nnauye akijadiliana na baadhi ya viongozi mwili
ulipowasili mjini Morogoro. Baadhi ya viongozi hao ni Kaimu Katibu wa
CCM mkoa wa Morogoro Sixtus Mapunda.Picha na Bashir Nkromo

Katibu Mwenezi wa CCM yuleeeee; kawa kimya kweli...
 
Watu wanapowasambaratisha wengine Utumbo Vilevile wajue Kila nafsi Itaonja Umauti!! RIP Mama!!
 
Viongozi wa ccm wanavyopenda msiba! Si ajabu wanavyosikia jeshi linaua watu!!?
 
poleni sana wafiwa, wana ccm, ndugu ,jamaa na watanzania kwa ujumla. mungu ilaze roho ya marehemu malali pema peponi 'Aamin'
 
Back
Top Bottom