PICHA: Kwanini Ndege ya Serikali inayombeba RAIS in registration # 5H-CCM kwanini CCM

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
CCM ikiondoka Madarakani inaweza ikasema hii ndege ni Mali yake; REG # 5H-CCM

558393_332449393507677_961115114_n.jpg
 
labda kikwete akimbile libya tunae masikini ritz one atalia tukianza mchakato ule mkutano wa bagamoyo utakuponza
 
Labda wajuzi wa usajili wa vyombo vya anga watusaidie juu ya usajili huo hasa neno CCM,twajua Tanzania usajili wa ndege ni 5H- ,ila CCM hapo sijaelewa
 
Mali yao kwani CCM ndio waliotoa pesa za kununuliwa hii ndege? Hii ni Mali yetu sio ya CCM. Muda muaafaka utafika na hatutowaachia bila ya Sheria kuchukua mkondo wake. Mkapa, Chenge, Kikwete. Lowassa na Bwana wao Rostam Aziz pamoja na Magamba mengine yaliotufikisha hapa tulipo lazima yakasotee Segerea na Ukonga. Time will tell
 
YA SASA ( gufstream 550) NI 5H-ONE.
Kitendop cha kuipa registration ya mabwepande ndege ya Wakala wa Ndege za Serikali (TGFL) ni uzandiki na kulewa madaraka.
Ni kuandaa mazingira ya kuipora hiyo ndege kama walivyofanya kwenye viwanja vya michezo.
 
Kwahiyo hii ndege ni ya Zamani Wakati wa Nyerere?
 
Viwanja vyote vya soka vinavyomilikiwa na CCM vimenunuliwa kutoka wapi?
 
Hiyo ngoma si ndo akatua nayo leo Songwe Airport sasa hao wanaosema ni ya enzi za Nyerere wanataka ipotezea ajenda nini?
Kama ndo dege ambalo Mramba alisema tutakula nyasi mpaka linunuliwe kuna haja ya kuhoji iyo CCM ina maana gani kwenye registration
 
Wanajiaandaa kuchukua kbsa kila ,kitu,sababu wameshaona hawatoboi 2015,,Wanajipa moyo tu na mikutano ya ubwabwa,Kigoma,leo na kwingineko,,na vibaraka wao,,HALI MBAYAAA,.
 
Labda wajuzi wa usajili wa vyombo vya anga watusaidie juu ya usajili huo hasa neno CCM,twajua Tanzania usajili wa ndege ni 5H- ,ila CCM hapo sijaelewa

unaweza ukaomba reg unayotaka wewe.......ila utalipa zaidi ya ile ambayo TCAA wangekupa wao.......
inawezekana........
 
Kama kumbu kumbu zangu zippo sahihi, hii ndege alipewa baba wa taifa enzi zilee za wakati wake. Yasemekana pia alipewa Kama zawadi in personal capacity na yeye akaitoa kwa serikali ya chama kimoja ambacho yeye ndie alikuwa kiongozi wake so the registration five hotel charlie charlie mike(I stand to be corrected though)
 
Kama iyo ndge aliyopewa mwalimu ingalikuwako mpaka leo Mkapa asingenunua dege lingine,mbona mnaipotezea mada!
 
Maana ya hii ndege ni Chale Chale Mike. Huwezi kuipa code name kama ndege ya kawaida. Hii ndege ipo toka 1978 ni Fokker F28. Kuna nyingine Fokker 50 na Hiyo Gulfstream G550 and they do not belong to CCM. Kuna government agency (Tanzania Flight Agency) which operates these planes. Kama una mpunga wa kutosha unaweza kukodisha.

5H-CCM (cn 11137) Fokker F28 aka Chale Chale Mike
5H-TGF (cn 20231) Fokker F50
5H-ONE (cn 5039) Gulfsteam G550 aka Tanzania 1
 
Bado sijaelewa,ni mali ya chama au ya serikali? Pili,mwalimu Nyerere aliitoa ndege hiyo kwa chama cha mapinduzi au kwa serikali iliyokuwa chini ya chama kimoja?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom