Amevumbua Au Amefanya Matengenezo? Na Hiyo Sm Ina Jipya Gani?Picha kwa isani ya Reuters
Hicho nacho ni kipaji. Acheni kuwabeza watoto wadogo wanaoonyesha ubunifu.
Unapomuona mtoto anajighulisha na mambo kama hayo inafaa umpe hamasa aendelee badala ya kumbeza. Huo ndio mwanzo wa ubnifu. Ndio maana taifa haliendelei. Kila kitu tunataka kuchomekea ushabiki wa kisiasa.Mkuu, hizo tumetengeneza sana enzi hizo. Ni models za vitu halisi vilivyopo na sio ubunifu mpya. Nakumbuka tulitengeneza wanyama kama ng'ombe, mbuzi kwa udongo; Magari pia kwa udongo na waya, bila kusahau binadamu, samani au vyombo vya ndani. Nk...
Ukiangalua tofauti ni kuwa tulitengeneza models ya vitu vilivyotuzunguka ama kuviona. Ndo maana sijataja smrtphone ... Dogo katengeneza model ya smartphone kwa kuwa ni common sasa hivi. Sisi hakukuwa na simu za viganjani.