Picha iliyo waliza waandishi wa habari na wote waliyo iyona

Heartless beasts, siku yao inakuja, Mungu atawahukumu na wao kwa kuwaua watoto na watu wasio na hatia wa Kipalestina; kwani wao hawana haki ya kuishi dunia hii? Pain that will never go....God please intervene on their behalf maana America and its allies wanawapa sana kichwa hao waisrael....

Amin
 
Mungu awalaze mahali pema peponi malaika hawa.........
Tunamengi ya kujibu mbele ya mwenyezi mungu.......
Pole nyingi sana kwa ndugu jamaa na marafiki wa malaika hawa.
 
Mbona picha za mauaji wanayofanya hamasi hamuzileti hapa? Mbona kuna watu lukuki huko Darful na Sudani ya kusini wanauliwa na waislamu kila kukicha hamzileti hapa? Au au mnaangalia upande mmoja tu wa shilingi? Mbona mnaeneza propaganda za Aljazeera? Hebu leteni na zile za waislamu wanaowalipua Wakristo huko Iraq mpaka wanataka kuikimbia nchi yao.
 
Mkuu, nikizipata nitakuwekea wee poa tu.
 
Eee mola wanusuru hawa wanaofanya huu ushetani jamani! hivi jamani Herode ndiyo karudi kwa style hii tena.
Kisasi ni Mungu, sisi hatuna hukumu juu ya hawa watu.
 
Poleni sana na mlio guswa na picha hizi, lakini naona jazba ziko kubwa kwa hizi picha za propaganda , je naomba kujua je hawa waislael ni wana target watoto kuwaua au?ni labda kuna shule ambako kuna watoto na kuna snipers wako ready ku shoot na kuna ndege za kivita ziko ready kushoot watoto?, Maana nimeona picha na a suicide bomber huyo katarget bus ,ina watoto wa ki jewish akalilipua , sijui zile picha tunge sema labda ni sawa au ?

Kuna mtu anapicha za Ubalozi wa Us TZ ulipo pigwa bomu?
 
Mbona picha za mauaji wanayofanya hamasi hamuzileti hapa? Mbona kuna watu lukuki huko Darful na Sudani ya kusini wanauliwa na waislamu kila kukicha hamzileti hapa? Au au mnaangalia upande mmoja tu wa shilingi? Mbona mnaeneza propaganda za Aljazeera? Hebu leteni na zile za waislamu wanaowalipua Wakristo huko Iraq mpaka wanataka kuikimbia nchi yao.

Nini waislamu wanao ua wa kristo,mbona huko mbali sana umekwenda , kwanza wala haitasikitisha , kafir anapo uliwa na musilamu safi , wambie waweke zile suicide bombs za wale sijui Sunni na Washia kule Baghdad wapo jilipua wakiwa sokoni ambako kumejaa wanawake na watoto wa kiislamu, tuone kama mtu aatasema kitu hapa
 
hapa ni swala la ubinadamu, na si swala la mwafrika au mwarabu ndugu yangu. ndiyo nyinyi mnaoendekeza udini na ukabila ndani ya CHADEMA mpaka Zitto kagundua mbinu zenu chafu. Huna hata utu!!!!!!!!!!!

Sasa mambo ya CHADEMA yametokea wapi hapa?
 
Mbona picha za mauaji wanayofanya hamasi hamuzileti hapa? Mbona kuna watu lukuki huko Darful na Sudani ya kusini wanauliwa na waislamu kila kukicha hamzileti hapa? Au au mnaangalia upande mmoja tu wa shilingi? Mbona mnaeneza propaganda za Aljazeera? Hebu leteni na zile za waislamu wanaowalipua Wakristo huko Iraq mpaka wanataka kuikimbia nchi yao.

Mkuu ktk jukwaa hili member yeyote anaruhusiwa kubandika picha. Hakuna mtu maalum aliyeteuliwa na mods kufanya hivyo.
Hata wewe waweza kuleta hizo picha unazozisema na uzibandike.
Hujakatazwa.
Pia hamna kibaraka wako wa kumwagiza 'mbona picha flani hamzileti?'
Zilete wewe mkuu unaruhusiwaa.
 
hapa ni swala la ubinadamu, na si swala la mwafrika au mwarabu ndugu yangu. ndiyo nyinyi mnaoendekeza udini na ukabila ndani ya CHADEMA mpaka Zitto kagundua mbinu zenu chafu. Huna hata utu!!!!!!!!!!!

Ni kweli Sbilingi,hapa ni ubinadam na sio itikadi na udini.Tatizo la watu wengine uwezo wa kufikiria itikadi sio kila kitu ,jamani utu na ubinadam na ustaarabu muhimu sana.
 
Hii kwa kweli inasikitisha kweli, hivyo ni nini hasa nia ya kuwaua watotot badala ya wazazi wao?, kama kuna moja kati ya picha hapo juu askari amelenga mtoto badala ya watu wazima
 
Hizi picha zingine za watoto walio uliwa na wanajeshi wa Israel

<TABLE style="WIDTH: 176px; HEIGHT: 11px" border=0 cellSpacing=0 cellPadding=0 width=176 align=center height=11><TBODY><TR><TD style="FONT-SIZE: 12px">
xin_45201060519345462286435.jpg
</TD></TR><TR><TD style="FONT-SIZE: 12px">
A Palestinian man reacts in front of the bodies of three children killed by an Israeli tank shell, one of them his son, at Shifa hospital in Gaza.

Below are the photos and names of a few Palestinian children killed in the last few days by Israel Army.​

lama.jpg
Haya and Lama Hamdan killed by an Israeli missile.​

haya2.jpg
Haya Hamdan finally put to rest (probably not in the way her parents envisioned).​

yahya.jpg
Little boy, Yahya Hayek, under rubbles. Our U.S. government recently supplied Israel with a fresh supply of heavy-duty missiles called bunker busters. It seems the Bush administration wanted to assist Israel in the humane and swift killing of Palestinian children without prolonging their pain.​

yahya2.jpg
Yahya Hayek's grandmother was asked to identify the body of her grandson. He was among the fortunate ones whose body was still identifiable. She will send her thank you note to the Israeli leaders for their kind and humane gesture.​

west-bank-boy.jpg
A boy shot by Israeli soldiers in a demonstration in the West Bank.​

five-girls.jpg
A father weeps the death of his five daughters, including a 14-month-old toddler.​

deena3.jpg
At the funeral of one of those five girls, Deena Baalousha​

deena2.jpg
What's Deena thinking now? Her beautfil angelic face tells a million story. Is she wondering why the world allowed Israel to starve her and her four sisters for three years and then watched as the F-16 sent the missiles to take their lives?​

deena.jpg
Deena can finally rest in peace in her own piece of land. This must be the peace that Israel keeps talking about.​

boy.jpg
A young Palestinian man carries a little boy who died before making it to the hospital. I am sure he has a name too. I am sure he has, or had, parents who loved him too. It might come as a surprise to many Israelis, but Palestinian parents name their children and love them too.​

baby.jpg
His crime is that he is not Israeli; so no one would care.​

three-kids.jpg
Three killed boys; three less targets for Israel.​

</TD></TR></TBODY></TABLE>​
 
Mkuu ktk jukwaa hili member yeyote anaruhusiwa kubandika picha. Hakuna mtu maalum aliyeteuliwa na mods kufanya hivyo.
Hata wewe waweza kuleta hizo picha unazozisema na uzibandike.
Hujakatazwa.
Pia hamna kibaraka wako wa kumwagiza 'mbona picha flani hamzileti?'
Zilete wewe mkuu unaruhusiwaa.

Heee! Mbona wahamaki rafiki? Nani kakwambia nataka mtu awe kibaraka wangu wa kuleta picha hapa? soma vizuri post yangu uielewe. Concern yangu ilikuwa kwa hawa wanaoegemea upande mmoja wa shilingi. Sasa sijui kwanini wewe unakuja na hasira tena, lol! pole.
 
pic-733468.jpg

Mtoto kafukiwa chini ya nyumba yao baada ya nyumba hiyo kupigwa kwa mizinga ya Israel

Image+%3D+Mother_Dead_Son_sm.jpg

Mtoto huyu alipigwa risasi wakati alipokuwa akicheza nje ya nyumba yao

large_Dead-Gaza-Children-Dec29-08-MIDEAST_ISRAEL_PALEST_Meye.jpg

Kundi la watoto walio uliwa na wanajeshi wa Israel

children+killed+in+gaza.bmp

images

gaza-doctor-abu-al-aish_2009-01-16.jpg

gaza_5_resize.jpg

Beach_death_a.jpg

DeadGazagirlcloseday14.JPG

1288871112-8531337ca40fdb94a332136331d0ea42_0_rs.jpg

IsraelsVictimsInPalestine2.jpg

bambino4.jpg

israelkillingchildren.jpg

kejam3.jpg

shootingchildren.jpg

JER1967-185034-pih.full.jpg

<hr id="imageRecircHorizontalRule" align="center">
57016096.jpg

kejam6.jpg

naderian20100816230720403.jpg

deadchildrenstrategy.jpg

JER212_PALESTINIANS-ISRAEL-_0107_11.full.JPG

images_News_2008_04_26_iof-child_300_0.jpg

Gaza_War_2009_2.jpg

xinsrc_4120106061040984145214.jpg

gaza4-11-thumb.jpg

Inasikitisha sana.
 
Hizi picha kwangu zinanikumbusha wale fanatics ambao pia wanaua innocent people including children-mimi kama nikulia ningelia kwanza nilipoona zile za fanatic suicide bombers wanazoua watu,
 
Back
Top Bottom