Picha CHADEMA wilaya Mkalama; Ni kijiji kwa kijiji ya vuna mamia ya wanachama

....sijajua nini kinakufanya uwe na DHARAU hivyo....Do u know who im I....Kama wewe una njaa njaa kwnye maisha unakunywa gongo u think kila mtu yupo ivyo....sijui ni umaskini wa mawazo, sijui ni ushamba, sijui ni utoto au ni kukosa exposure.....Kilaza sana wewe

mkuu usihangaike kujibishana na mateja..
 
Ccm ni chama kinachoo endeshwa kwa kufuata misingi kanuni na taratibu hawakurupuki kamaa chadema inayoomgozwa na mawazo ya mtu mmoja.

kweli hata kinana acha aendelee kuwinda tembo wetu wakati tukiangalia taratibu na kanuni za kumuwajibisha..
 
Chadema ni msingi ni balaa...inaiua CCM...alafu sasa ..inapigwa kimya kimya.....wakati CCM wanaangaika na zitto mahakamani kweli..zitto kawaweza
Magamba hawata msahau zito..jamaa kavuta hela kibao then chadema hajaiua ndio kwanza makamanda wanazidi kuchanja mbuga...

Chadema ina makamanda wengi sana duuu twanga kote kote
 
Magamba hawata msahau zito..jamaa kavuta hela kibao then chadema hajaiua ndio kwanza makamanda wanazidi kuchanja mbuga...

Chadema ina makamanda wengi sana duuu twanga kote kote
Mpaka sasa hawajui pakushika...
 
pigeni kazi makamanda tunawaombea sana ccm hawana tofauti na ibilisi wao kila siku ni hila,dar umeme hakuna wanakuja na mpango wa REA umeme vijijini?ma ccm na hila zenu mtashindwa tu na kununua wapiga kula mtashindwa tu na kutumia mapandikizi mtashindwa tu hii ndio chadema tunayoitaka ni kijiji kwa kijiji na mtaa kwa mtaa
 
Safi sana makamanda, tusirudishwe nyuma kupigania ukombozi wa nchi na wahaini wachache, haiwezekani kimtu kama kizitto kabwe kiteke akili zetu kipumbuvu, ni mapambano kwa kwenda mbele mpaka waisome namba, walizani tunabeep kumbe tunapiga, yeyeote atakayeleta ujinga piga chini, hatutaki ujinga saizi.
 
Dah nikiona makamanda wanapiga kazi namna hii nafurahi sana..hebu check hizo gwanda zilivyo mpendeza safi sana makamanda.
 
George wela wela,Mkaramo wela wela
Jesca wela wela Kiiomboi wela wela pigeni kazi vijana
 
CHADEMA wamekuwa kama waganga wa kienyeji..
Na CCM wamekuwa kama magaidi!

1013165_548810871844995_387610025_n.jpg
 
Hongera sana Kamanda wangu George,
Kwa mtaji huu intarahamwe hawana chao 2015!!
 
Back
Top Bottom