Picha: Baada ya ziara ndefu Kilombero

Umefanya kazi ya kutukuka sana ! Hakika kuna siku Mungu atakurudishia jasho lako.
 
CCM imesababisha maafa makubwa sana Kilombero .. Huu ni wakati wa kuingoa na kasha kuizika kabisa ... Migogoro ya wakulima na Wafugaji sasa basi...
 
Next time tupeane taarifa mapema ili tuweze kuchangia pesa za mafuta , magari au vyote kwa pamoja kutegemeana na mahitaji , ukombozi ni lazima .
 
  • Thanks
Reactions: Lua
Back
Top Bottom