Picha: Baada ya ziara ndefu Kilombero

Naaam umenifurahisha sana sana, next time ukienda naomba yuwasiliane tafadhali najua hapa hata mpwa wangu MANI ataweka neno

Mpwa huyu bwana Lua anastahili pongezi sana mimi nafikiri wakati wa vuguvugu la uchaguzi uikianza nitajiunga na kichebaone kumtoa huyu mkoloni mweusi karibu nawe.
 
Last edited by a moderator:
sawa kamanda, nasis tulipiga hapo kotako, ikule, mguden,kimbi,nakaguru nk vp ulibahatika kufika kijiji cha merera kipo kata ya chita. kamanda jamaa walituelewa sana baada ya kuwakataza kulipa mchango wa mwenge ambao walikuwa wananyanyaswa nao sana, natukawaambia hakuna sheria inayomlazimisha mtu kufanya hvyo ikitokea wamewakamata muwaambie twenden mahakaman, nasis makamanda tutawafuata huko. toka hapo hawajanyanyaswa tena nawalitupigia sm wako huru hawajifich tena. nawakafanya mabadiliko makubwa kwenye uchaguz kwa kutoa ukolon wa magamba. makamanda hutulal mpaka kieleweke.
MERERA nilifika hapo inapoiona gari inapita kwy tope ni njia tunatoka chita kuja MERERA ambapo njia ni mbovu balaa, na kiji tumeshinda na kiji cha MSITA nako tumeshinda.
 
namwawala, kisegese, godown ccm wameshinda cdm tumeshinda kijiji cha KALIA GOGO.

Dah ! Hawa ndugu zangu wamewapa tena magamba ! Kulikuwa na Kitongoji kilikuwa chini ya ÇDM yaani magamba wamerudisha? Mbaya sana.
 
Hata hivyo kazi nzuri sana jitahidini kuitokomeza CCM katika uchaguzi mkuu Ujao.
 
Hongera sana mpiganaji kwa kuliongoza jahazi na kuyatokomeza hayo magugumaji yanayotunyonya kwa zaidi ya miaka 50
 
Hakuna cha maana alienda kuuza sula tu ndiyo maana hata uandishi wake ni mithiri ya mtu aliyevuta.

Mahakama ya kadhi vipi mlidhani CCM ni babu zenu Kuwachagua mmewachagua na mahakama ya kadhi wameitupa hapo ndipo mtakapo watambua CCM ni nani.
 
Dah ! Hawa ndugu zangu wamewapa tena magamba ! Kulikuwa na Kitongoji kilikuwa chini ya ÇDM yaani magamba wamerudisha? Mbaya sana.

Hata hivyo kazi nzuri sana jitahidini kuitokomeza CCM katika uchaguzi mkuu Ujao.
kile kijiji kimoja hatujafanya uchaguzi kipo Idandu sababu kuna kesi kati ya wananchi na serikali sababu wanasema kijiji hicho sio kijiji bali ni eneo ambalo amepewa mwekezaji.
 
Back
Top Bottom