<br /><span style="font-family: fixedsys">Nashangaa sana kwenye thread kama hizi simuoni FF,Rejao,Arafat,Ritz1 na mwita. Mmeanza kupepereka shuhuli imekua tete upande wenu.</span>
<br />hivi,si ilishapigwa marufuku kubeba watu kwenye malori?ama wakati wa uchaguzi kunakuwa na exceptions?
<br />Bila hao watoto mkutanoni patapwaya ndio maana wanawakusanya kwa wingi.
Sijui ni lini jamani CCM itajifunza kuacha kutumia watoto kwenye siasa, tulitegemea wangejifunza kutokana
kifo cha mtoto yule wiki iliyopita lakini CCM pamoja na kujifanya wana majonzi makubwa ya kifo cha mtoto
yule lakini wanaonekana kuendeleza tabia yao ileile ya kutia maisha ya watoto hawa hatarini for political gain.
picha hii ya Fuso likiatarisha maisha ya watoto(Igunga) kwa kuwajaza humo huku mlango ukiwa wazi labda kwa ajili
ya kuwaruhusu wengine waendelee kudandia, jamani je watoto wangapi wafe mpaka ccm iache mambo haya??
sijui ni lini jamani ccm itajifunza kuacha kutumia watoto kwenye siasa, tulitegemea wangejifunza kutokana
kifo cha mtoto yule wiki iliyopita lakini ccm pamoja na kujifanya wana majonzi makubwa ya kifo cha mtoto
yule lakini wanaonekana kuendeleza tabia yao ileile ya kutia maisha ya watoto hawa hatarini for political gain.
picha hii ya fuso likiatarisha maisha ya watoto(igunga) kwa kuwajaza humo huku mlango ukiwa wazi labda kwa ajili
ya kuwaruhusu wengine waendelee kudandia, jamani je watoto wangapi wafe mpaka ccm iache mambo haya??
kwa magamba ruhsa.
Maisha ya mtanzania kwao si muhimu. Wanaangalia ulaji wao tu