pharmacy week, unaichukuliaje huduma ya wafamasia?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
wadau katika kalenda ya afya hii ni wiki ya wafamasia sasa hebu tuongee mnaionaje nafasi ya mfamasia katika utoaji wa huduma za afya na chochote kinachohusu hii kada
 
ni sekta nyeti sana kwa maisha ya binadamu ila hakuna juhudi za makusudi za kuwajali wanojikita katika shughuli hii...vitendea kazi hasa kwa watu wa maabara ni vichache na mazingira ni magumu mno kwao
inabidi iangaliwe upya namna ya kuwapa angalau motisha fulani ili kuwezesha utendaji mzuri wa sekta hii
 
mkuu asigwa unafikiri wataalamu wenyewe kwenye sekta wanaact kulingana na uzito wake yaani ukiachana na part inayohitaji msaada wa serikali? maana tunaona irrational use of drugs ni tatizo sugu je wataalamu hao wanaplay their part?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom