Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,608
Kiaranga,
Tanzania iwewahi kuandaa vitu vingapi? je masuala ya maji na umemem hayakuwapo mawazoni mwa waliotuletea Sullivan au Bunge la Jumuiya ya Madola?
Mikutano ni tofauti na events za michezo. Kwa mfano, hata media coverage ya hiyo miktano ni tofauti kabisa na media coverage ya michezo/ mashindano ya kimataifa.
Mimi hapa naungana na Kiranga. It's a damn shame kwamba watoto wetu wanasomea chini ya miti na kwenye vibanda halafu watu mnafikiria kutumia mabilioni kuandaa michezo ya kimataifa. It's a damn shame wagonjwa wanala chini sakafuni halafu watu wanafikiria kuandaa michezo. I mean, come on son, what is more pressing?
Sana sana ku host hayo mashindano kutakuwa fursa ya mafisadi kutufisadi zaidi with impunity.