Peter Msigwa: Polisi hawawezi kunipangia nini cha kusema na wala sio majukumu yao

CCM ijitokeze ipambane majukwaani kwa hoja siyo kuiachia polisi kupambana na upinzani. Siasa za propaganda na kutegemea jeshi vinakizika chama.....
 
Ila polisi wanamamlaka ya kukukamata kutokana na ulichokisema. Msigwa bwana.
 
mabavu yapi unayosemea ww?
Wabane huko bungeni ili tupambane nao huku.

Nujua mmetumwa na wanasiasa nchi haina njaa na sigawi chakula cha msaada.

Sipangiwi cha kufanya ukinipangia ndio umeharibu kabisaaa..!!!!

Nitashangaa kabisa ukikosa kura ktk jimbo lako wkt vyombo vya dola nimekupa.etc.
 
Kule kwenye demokrasia, uchumi kukua na uzalendo wa kweli, ila kwa wenye 'akili nyembamba' kama wewe kamwe hawawezi kuelewa haya.
Nchi za Wenzetu kuna demokrasia sio Domokrasia. DOMO krasia ni uhuru wa kuongea chochote kisa tu DOMO ni jumba la maneno. Msigwa anachopigania ni DOMO krasia sio DEMO krasia.
 
Nyie subirini wale waarusha mnaowapa pesa wapande jukwaani na wakila kona na hela zenu mnamwita RC mpumbavu mbele ya hadhara

Hayo ya Arusha na Kilimanjaro ni siasa ambazo mimi haziniumizi kichwa..

Si ni kama nyie mlivyoingia chaka kwa buana mamvi, Ziro na Masha
 
Anaandika Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini Peter Msigwa.
Polisi hawawezi kunipangia nini cha kusema na wala sio majukumu Yao. Wamenikamata nikitimiza majukumu yangu ya kibunge! SITANYAMAZA!

My take:
Muda wa kuwabembeleza Jeshi la Polisi umepita, kwa sasa nilazima wajifunze kusikia yote, wanayoyapenda na yale wasiyoyapenda.

Inazidi kuthibitika kwamba sasa nchi yetu inageuzwa kuwa dola la kipolisi(police state) demokrasia yetu inazidi kuuwawa kwa nguvu kubwa ya vyombo ya dola, leo kukosoa serikali ni uhaini, kumkosoa rais eti ni usaliti, kila kitu serikalini eti kinatakiwa kufanyika kwa siri bila kuhojiwa?!!!

Sisi wengine tumechagua kuwa upande wa demokrasia, upande wa kupigania taifa huru na uhuru wa mawazo, kuhoji na kuhojiwa.

Mh Peter Msigwa hongera na hauko peke yako,tunajua hatari zilizoko mbele yetu kwa watala hawa wa sasa lakini tutapambana mpaka tone la mwisho la damu zetu.

Tanzania haiwezi kugeuzwa kuwa mali ya mtu binafsi na kikundi chake.
Tutashinda na tumesha washinda.
Dah! Nimejikuta napata nguvu dhidi ya andiko hili .... Linatia hamasa sana bigaup pastor Msigwa
 
Kuwa mpinzani sio kigezo cha kutofuata taratibu na kanuni tuliojiwekea kama taifa,hawa watu wanarudisha maendeleo yetu nyuma

Mkuu apo kwenye kurudisha nyuma kimaendeleo Sijakuele kwa sababu selikari inaundwa na ccm toka tupate uhuru
 
Mkuu anatakiwa ajulikane ni wa wapi isiwe ni mhutu sisi tunadhani ni ngosha tunayoyaona yamezoeleka huko brnd & rwnd sio asili ya tz hiyo
 
Hizi nguvu wanazotumia kupambana na upinzani wangetumia kupambana na watu wasiojulikana tungewaona wa maana ila kupambana na wanasiasa ni jinsi gani hawajielewi wanafanya kazi kwa maagizo
Wewe pia ni mtu usiejulikana unaandika uharo kwa Id fake utajulikana vipi?
 
Back
Top Bottom