hadi feki tayari zipo mtaani! Hii ni balaa!na fake zake tayari zpo ktk mzunguko wakati hizo halisi kuna watz hawajawahi kuziona!!
hadi feki tayari zipo mtaani! Hii ni balaa!
loooh....hii ni tz zaidi ya uijuavyo kila kitu kinawezekana,wapi benno ndulu?
......Pesa zenyewe pia zinatoa rangi..zikipata jasho au ukisugua kwenye karatasi...jaribu hasa elfu 10,000 na 5,000
Mimi niseme sijui ni mshamba ama macho yangu yameona vibayaa.Jamani pesa mpya sijui wanajamii forum mnazionajee?pesa ni nyepesi sidhani kama zitamudu life la bongo,ndo maana nikasema mi sijui ni mshamba ama sijaona vizuri naomba maoni yenu
dah kwa kweli itakuwa ni balaa.mkuu zipo za 10,000 sasa zikifika kule kwetu Katavi,Lyazumbi na Sitalike si ndo itakuwa balaa zaidi
Atakuwa alishakufa!!Jamaa hawafai, hv nan ka2roga?
hadi feki tayari zipo mtaani! Hii ni balaa!
na fake zake tayari zpo ktk mzunguko wakati hizo halisi kuna watz hawajawahi kuziona!!
hadi feki tayari zipo mtaani! Hii ni balaa!